Ni kweli wanawake waliozaa wanafurahia zaidi?

Aisee hili ni somo jipya kabisa kwangu.nawashukuru sana wan JF
 
Swali zuri mkuu watupe majibu wajuzi hapa.

ni kweli mwanamke aliyezaa husikia ama hufurahi tendo zaid kuliko binti. sababu hasa nafkiri ni saikolojia na kule kujiachia kunako faragha. pia ile hali ya kuukubali utu uzima nayo inachangia sana.

haijalish kama kazaa kwa operation ama kwa kawaida bado atafurahia tuu tendo hi
 
kuzaa kuna raha yake
waulize walio kwisha zaa watakuambia
love it
 
Aibu ya nini wakati kasema ukweli? mi mwenyewe mamsap wangu huwa anafunguka mapema tu kuliko mimi. Nikicheza vibaya huwa nachapwa hata 3-0, ni hivi majuzi tu ndani ya masaa 2 kanipiga 4-2.

eh!!! kumbe wewe ni mama! aibu!!
 
kweli, kabla sijazaa kukojoa ilichukua nusu saa nzima, na wakati mwingine nilitoka kapa, kutegemea utaalamu na mikiki ya mwanaume. Lakini sasa, ukiingiza tu nahesabu oscilation 20, niko pooowa

" umesema ukiingiza tu" which means anybody cant enter unto you right? Congratulation lady
 
Napenda kujadili mada kama hizi na wazazi wenzangu.....gfsonwin uko sawa kabisa ila ukiwaeleza vijana wa dot com hawawezitambua hili, ila we gusia tu kwa akina BBC (Born Before Computer) utapata majibu.

ni kweli mwanamke aliyezaa husikia ama hufurahi tendo zaid kuliko binti. sababu hasa nafkiri ni saikolojia na kule kujiachia kunako faragha. pia ile hali ya kuukubali utu uzima nayo inachangia sana.

haijalish kama kazaa kwa operation ama kwa kawaida bado atafurahia tuu tendo hi
 
Kuna kamchumba kangu kanakawia sana kwenye kufika kileleni, nitajitahidi mwaka unaokuja kapate ujauzito ili mambo yawe fresh.
Asanten sana wadau.
 
ni kweli mwanamke aliyezaa husikia ama hufurahi tendo zaid kuliko binti. sababu hasa nafkiri ni saikolojia na kule kujiachia kunako faragha. pia ile hali ya kuukubali utu uzima nayo inachangia sana.

haijalish kama kazaa kwa operation ama kwa kawaida bado atafurahia tuu tendo hi

Asanteeee....!
 
Aibu ya nini wakati kasema ukweli? mi mwenyewe mamsap wangu huwa anafunguka mapema tu kuliko mimi. Nikicheza vibaya huwa nachapwa hata 3-0, ni hivi majuzi tu ndani ya masaa 2 kanipiga 4-2.

Mimi niliweka ligi na demu mmoja hivi cjawah kumshinda hata cku moja ya kwanza ngoma inakua droo zinazoendelea nikichelewa nakula 2-1 au 3-1, wee acha tu.
 
Napenda kujadili mada kama hizi na wazazi wenzangu.....gfsonwin uko sawa kabisa ila ukiwaeleza vijana wa dot com hawawezitambua hili, ila we gusia tu kwa akina BBC (Born Before Computer) utapata majibu.

asnte sana Thanda. ila unajua nini hawa wanaoniita old school ngoja niwate waje waone haya kutoka kwa old school mwenzangu. lara 1 Ciello, Suprise, amu njooni muone haya mtupe na nyie za ki-new school.
 
Last edited by a moderator:
ni kweli mwanamke aliyezaa husikia ama hufurahi tendo zaid kuliko binti. sababu hasa nafkiri ni saikolojia na kule kujiachia kunako faragha. pia ile hali ya kuukubali utu uzima nayo inachangia sana.

haijalish kama kazaa kwa operation ama kwa kawaida bado atafurahia tuu tendo hi

Thank you for that useful nugget of information:becky:
 
Hahahah inakuwa vigumu kuelezea kitu ambacho kinahitaj comparison, ila niseme tu kuenjoy tendo kwa mwanamke smhw inategemea na mwanaume kama ni fundi ka wale wa kanda ya ziwa basi haijalish umezaa ama bado ,magol utayafunga tu! lara 1 ni shahid ktk hili
naomba kama lara1 kama upo karibu pliz. Ciello ni hazina pia Wiyelele kama upo njoo tafadhali.

Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom