lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,485
ahsante.usijali maneno yako,hayaninyimi usingizi
Nimevutiwa na wewe gafla. kukosa mtoto ni mateso usiombe yakutokee. uliza wasio bahatika kuwa nao.Hongera zako mamma
ahsante.usijali maneno yako,hayaninyimi usingizi
Subiri nitakujibu 2015 maana kwa sasa bado sijazaa