Aliyewadanganya wanawake wanapenda wanaume ni nani

Loading failed

JF-Expert Member
Sep 14, 2023
1,945
5,850
Ndugu zangu nawasalimu sana.

TAHADHARI: SOMA POLE POLE TYPING ERROR ZIPO NYINGI SANA

Katika harakati za maisha ya hapa duniani baada ya Muumba wetu kuona kwamba si vyema mwanaume awepeke yake alitulitea usingizi na kumtwaa mwanamke katika mwanamume kupitia kipande cha ubavu wetu ili basi tusijisikie wanyonge na wapweke pamoja na kusaidiwa kazi za hapa na pale.

Ndugu kabla mwanaume hajapewa mwanamke ikumbukwe Mungu alimpa mwanaume ajira (kazi) ya kuitunza bustani ila upendo mwanaume hapo awali hakupewa. Katika kuzidiwa kazi mwanaume basi akaletewa mwanamke na kuamriwa sasa kumpenda mwanamke na vile vile mwanamke akaamriwa kumtii mwanaume na siyo vinginevyo.

Ndugu zangu nimeanza hivyo ili ijulikane kwamba kazi ya mwanamke siyo kupenda bali ni kutii na kazi ya mwanaume ni kupenda mwanamke pamoja na kuendelea na kazi (ujira) aliopewa na Mungu huku mwanamke akiwa msaidizi wake.

Wanawake wakizazi hiki cha nyoka kilicho changamana na tamaa zao binafsi za bustani ya edeni kwa kula tunda walilokatazwa na mwenyezi Mungu huku wakitupea na sisi ili tufe wameyaacha majukumu yao ya kike ya kutii na kuingilia majukumu ya kiume ya kupenda.

katika uingiliano huu wa majukumu kumepelekea wanawake kujiegesha katika mahusiano na wanaume huku mioyoni mwao wakiendelea kutafuta kwa siri wanaume wanaovutiwa nao na kuwapenda kisirisiri huku wakisubiria kufuatwa na baadae kutimiza adhima yao ya usaliti kama walivyo saliti amri ya Mungu kule bustanini eden.

Jambo hili la mwanamke kutwaa jukumu la mwanaume la kupenda limepelekea sana usaliti katika mahusiano na migogoro mingi sana kwenye ndoa, familia zenye miundo mibovu na jamii zisizo na maadili huku wapenzi wakiachiana majeraha ya kudumu na hata kifo wakati mwingine.

Mbaya zaidi limetia hofu vijana wengi kukataa kuoa kabisa na kuishia kuchezea wanawake huku na huko na wanawake wengi kujikuta single mother huku watoto waliozaa kuwa taabana na haya yote ni kwasababu mwanamke na yeye ana jipajukumu la mwanaume la kupenda na kusahau jukumu lake kubwa la kutii na kuwa mnyenyekevu kwa mwanaume na pindi mwanamke apatapo mwanaume anaye mtaka yeye ( kwa kisingizio cha kupenda) ataanza kumsumbua na kumfanyia vimbwanga mwanaume aliye na mahusiano naye au hata aliyemuoa na hii hutimia lile neno la Mwanamke mpumbavu hubomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe.

Ndugu zangu wanaume kupima kiwango wa wanawake kuingilia jukumu la mwanaume la kupenda nipale tu utakapo gundua mwanzoni wakati wa kumtongoza , wengi utaona wakiyasema maneno haya pindi uwatongozapo

1: Nipe muda kidogo nitakupa jibu lako

2: Nitakufikiria

3:Wewe siyo type yangu/mimi na wewe hatuendani

4: Muda bado na hivi kwanza wewe umenipendea nini na wakati wanawake wazuri wapo wengi

5:kaka wanawake wapo wengi hakuna mwanaume anayekosa mwanamke

6:Nawewe utampata wako mtakaye pendana

7: Bikra ni nyama tuu kuwa nayo mapaka sasa hivi ni ushamba

Wakuu ni hayo tuu, kila mtu akae kwenye majukumu yake na kuachana na huu mfumo wa shetani wa 50/50 uliopelekea wanawake kuingilia majukumu yetu ya kupenda na siyo kutii mpaka kupelekea vijana wengi sana kukataa kuoa na kusababisha ongezeko kubwa sana la single mother

Nb: Nimeandika huku na mchungulia boss asininyake , utaedit mwenyewe kichwani mwako.
 
Watu wengi hawawezi kujua amri na Sheria hupewa mtu ambaye pasipo amri hawezi kutekeleza jambo hilo

Mwanamke anapenda (mwanamke akikupenda wivu unakuwa juu sana mtagombana sana) lkn Hana kabisa utii. Ndiyo maana amri ikamlazimisha atii .

Mwanaume anatii mno ila Hana upendo ( ndiyo maana mwanaume anaweza kupiga game kokote tu ili mlandi mechi imepigwa) mwanaume akiambiwa njoo saa furani lzm atimbe ila mwanamke hata akimpenda mwanaume kutii upendo wake si jambo jepesi

Hivyo mwanamke anapenda

Mwanaume anatii
 
Sijui kama watakuelewa!
From the bible point of view,na nature hii ndo Hali halisi!
Mwanaume ni kichwa!
Majukumu yameingiliana basi tafrani!

50/50 is not of God
Mwanamke anatakiwa kutii sio kupenda,na mwanaume kupenda !
No 7. Imenichekesha sn, but it's something spiritual sio issue ya nyama tu.
 
Watu wengi hawawezi kujua amri na Sheria hupewa mtu ambaye pasipo amri hawezi kutekeleza jambo hilo

Mwanamke anapenda (mwanamke akikupenda wivu unakuwa juu sana mtagombana sana) lkn Hana kabisa utii. Ndiyo maana amri ikamlazimisha atii .

Mwanaume anatii mno ila Hana upendo ( ndiyo maana mwanaume anaweza kupiga game kokote tu ili mlandi mechi imepigwa) mwanaume akiambiwa njoo saa furani lzm atimbe ila mwanamke hata akimpenda mwanaume kutii upendo wake si jambo jepesi

Hivyo mwanamke anapenda

Mwanaume anatii
I never saw it coming my hommie.
 
Back
Top Bottom