P O V U KAMA LOTEAaahh wapi. Kakuambia Nani Album imebuma? Hatafuti Kiki Ila mlitenga ugali ameweka mboga Safi juu. Tunasubiri wenye jukumu na simu za techno wanunuliwe bando waje kutapika. Chawa hao Ila ndiyo Harmonize hawamkuti tena dunia hii. Yuko mbali. Na Lebo itakua Tu. Hata huyo mla unga Mondi hakuanzia hapo alipo. Aliswagwa na Clouds akakomaa akatoka na yeye ameswaga wasanii wakajifia Ila Harmonize ametoboa. Na ndiyo maana walimbeza eti ukitoka WCB atakufa kimziki. Mbona hajafa mpaka Leo hii? Mtasubiri Sana.
Kama ni masharti ya kiganga inawezekana kweli,kama anabadilisha wanawake hapo hapo anapoishi na mama yake unategemea niniInasemekana eti anamla mama yake,kuna ukweli wakuu?
Mashart ya mganga eti wanasemaDuhh kwa hili wakuu anaonewa na ni tuhuma mbayaaa
Kubali kataa dogo kashuka sana, album yake imebuma kinyama ni vile tu ana kajina la sivyo ile album ni utopolo tu.Mtu akunyonye 600m akaona hujafa. Akaamua akuweke chawa wa kukutafuna na yeye kutumia mafumbo. Huwezi kukaa kimya na ukweli alisema. He deserves a credit for that #Harmonize. Tumeujua ukweli.
kheeeh wee kwan mie kusema ndo kuwa? Kwan hapo nmesema nna amini?
Hayo makovu ya harmonize ni sababu ya nini shosti?
Najazia nyama tuu, wazazi wapo wa aina tatu. Aliyekuzaa, aliyekulea, na aliyekusomesha.Hao woote ni wazazi.Mkuu umenena. Na hii itamgharimu Sana Mkuu. Baba uliyemkojolea usiku na mchana. Akakubeba eti unakuja kumkana hadharani kwa dharau kabisa. Yaani huyo ndiyo Baba yake no matter what. Anguko linakuja.
Wachaa! Kwahiyo anafurahia na siyo siri kwa watu wake?Mwenyewe anajiita teja smart
Labda anazimiaga bangi zake hahaa jokes
Vp iyo albamu umeisikiliza???Kubali kataa dogo kashuka sana, album yake imebuma kinyama ni vile tu ana kajina la sivyo ile album ni utopolo tu.
Kwani mbona na yeye alikua anajibu na sometime yeye ndie anaanzisha vijembe hasa kwenye nyimbo zake na ngoma kibao kwenye album yake kamsema bosi wake wa zamani.
Yani ingekua mwamba hajihu afu ndo akaja kusema hayo alosema, sawa ila yeye vijembe anaviimba alivoona anapuuzwa sanabasi ndo kaamua aje na hii.
Yaah nimeiskiliza aiseeVp iyo albamu umeisikiliza???
Shukrani kwa kumuungishaYaah nimeiskiliza aisee
😂😂 Ni kituko sijui alikusudia nini, sema sometimes jina hua linambeba sana sana msanii aisee.
Kabisa kabisa ni lazma nimsikilize kijana wangu yule.Shukrani kwa kumuungisha
Zinahitajika sapoti za namna hii kwa wasanii wetu