Ni kweli Diamond Platnumz anatumia unga/madawa ya kulevya?

Kule USA kwenye "black community" Kuna theory kuwa a black man huwa hapendi kuona black man mwenzie kafanikiwa! Yaani kama black man ukifanikiwa, watu wa kwanza kutaka kukuangusha ni black men wenzio,
Hii inaonyesha ni "inborn thing " Ya watu weusi,tumezaliwa na hii nuksi!
Badala ya kuchunguza na kukosoa lifestyle ya Mond,jifunzeni kwake jinsi alivyoweza kungalisha na kutumia talanta yake kutengeneza ukwasi! Na kutoa ajira kibao,toeni ushauri chanya!
Sasa wewe huna chochote, unataka kujipa "high moral ground" Kukosoa wenye nacho!
"Bskhresa hawezi kusikiliza wala kujali ushauri wa kapuku kama driver wa daladala" Lakini akisikia ushauri wa MTU kama Dangote au Rostam, lazima at a kuwa makini kusikiliza"maana ushauri umetoka kwa MTU wa level yake.
Hii imeenda...
Tuanzie tulipoishia
 
Ni kweli anatumia
Muda utaongea👌
Punguza kuandika parandesi
Kwani anakulipa au mlamba makalio yake👌👌🤣
Hii ya Diamond kutumia madawa nilijua muda mrefu mno kabla hata ya hiyo Mange Kimambi kuja public. Kifupi tusibishe Sana kuhusu hilo bali tumuombee aweze kuacha.
 
Kama mtakumbuka pia kwenye sakata la Makonda na Wauza unga Diamond naye aliitwa Central police. Yeye aliitwa kama Moja ya chain ya watumiaji ili kubanwa ataje anayemuuzia. Issue inajulikana. Si msanii peke mla unga, wako wengi tu bila kusahau bangi. But Mond ni madawa grade 1 alivyoaminishwa. Ila ndiyo yanammaliza sasa yaneshakolea kwenye damu.
 
Wewe ni mke wa Diamond? Kwanini unajipa kazi ya kumtetea mtu ambaye dalili zinaonyesha hayuko sawa? Unadhani watu wote ni wapuuzi kumsikiliza Mange bila kuchanganya na akili zao? Nakusisitiza tena kuwa acha tujipe muda. Kama sio kweli itajulikana. Kama ni energy ya jukwaani hata Bobby Brown na Whitney Houston walikuwa nazo za kutosha. Diamond amesafiri kumzidi Whitney? Diamond ana madili mengi kuliko Americans?
Kitendo tu cha kumfanya Mange kuwa source yako ya taarifa ni dalili tosha kwamba huna uwezo wa kufanya maamuzi sahihi juu ya maisha yako.
 
Kitendo tu cha kumfanya Mange kuwa source yako ya taarifa ni dalili tosha kwamba huna uwezo wa kufanya maamuzi sahihi juu ya maisha yako.
Una uhakika gani kwamba Mange ndo chanzo changu cha taarifa? Wewe mpuuzi kuanzia leo jua kuwa Mange hana taarifa nyingi sana ya mambo mengi ya Dar. Kuna baadhi ya mambo angeyafahamu ingekuwa balaa zaidi. Dar mitaa ya Kinondoni, Mwananyamala, Kijitonyama na Sinza ina mambo machafu sana yanayofanywa na hawa wanaojiita masupastaa.
 
Wewe mpuuzi nini, sasa hizo taarifa unazojisifia kuwa nazo za mitaaa ya Dar, zinakusaidia nini katika kukukuza kiroho, kijamii, kiuchumi au kitamaduni zaidi ya kukufanya uwe mjinga mjinga zaidi.

Jifunze kutumia muda wako kwa manufaa yako na kizazi chako kama unacho, badala ya kutumia muda mwingi kufuatilia maisha ya watu. Shez type.
 
Na wewe ungetumia muda wako kutojibu comments zangu ungekuwa mbali sana kimafanikio. Unafiki ulio nao ndo unakufanya uendelee kuwa mpumbavu na maskini.
 
Sijui mkuu...hii ni kwa mujibu wa Mange kimambi kuwa Dai anabwia unga na anaempelekeaga ni Gigy..si unamjua yule dada hajawahi kuongea famba? Lazima kapitishiwa ubuyu na watu wanaomzunguka huyo huyo Mond...sema labda anakula unga msafi wa mataita..ambao haumchoshi..
Juzi jumapili nimeona Giggy anahojiwa amekonda au amejikondesha ila anaonekana huyo "high" na yupo weak. Kuna uwezekano mkubwa naye anabwia na labda wanabwia naye.
 
Kwa muonekano wa sasa wa huyo Diyamond na Body Language yake haiihitaji taarifa ya Konde Bwoy au MangiKimavi kuthibitisha Ulaibu wake wa Unga.
Time will tell wakuu🙏
 
Juzi jumapili nimeona Giggy anahojiwa amekonda au amejikondesha ila anaonekana huyo "high" na yupo weak. Kuna uwezekano mkubwa naye anabwia na labda wanabwia naye.
Anabwia nasikia...huyo long tym...
 
Kwa muonekano wa sasa wa huyo Diyamond na Body Language yake haiihitaji taarifa ya Konde Bwoy au MangiKimavi kuthibitisha Ulaibu wake wa Unga.
Time will tell wakuu🙏
Soon as possible...
 
Back
Top Bottom