mwananchi2007
Member
- Nov 3, 2010
- 8
- 0
Fisadi ni mtu anaechukua wake za watu....sikatai kua huyu mama kawekwa pale ila ni lazima na sisi tujue maana halisi ya neno FISADI
Bitimkongwe ulijuaje kuwa mimi ni mwanamme?
Yes mimi ni dume la mbegu. Kwa taarifa yako maisha yangu ya shule hakuna mwanamke aliwahi kunipita darasani toka shule ya msingi mpaka chuo. Mwanamke ninayempanda hawezi kunizidi akili hata siku moja maana itakuwa ni kupingana na Muumba wangu. Nakumbuka maisha yangu ya Chuo kuna wanawake waliokuwa tunawaita ma-graduate wa (Digrii za marks za Chupi) I am sorry to say this. Kwamba wanawake/wasichana walikuwa wakigawa mapenzi kwa Lecturers/Professors ili wapewe marks nzuri za kuwafanya wamalize Digrii zao! Je,wewe ni graduate na ulipata digrii yako bila rushwa ya ngono? Hiyo ni siri yako!Huo ndio ukweli na hilo lipo kwenye vyuo vingi. Namshukru Mungu alinifanya niwe mwanamme ili niweze kutawala kwa maana mimi nimeumbwa tofauti na wewe kwa kila kitu. Siku zote nikiongea na wanawake linapokuja swala la usawa wa kijinsia kuwa tuko sawa huwa nawaambia hivi:KAMA TUKO SAWA NA AJITOKEZE MWANAMKE ATAKAYENIDUNGA MIMBA!. Huwa wanaishia kucheka tu kwasababu ni ukweli ambao hawawezi kuupinga.
Naomba na wewe unipe contact tukutane mahali kama utaweza kunitia mimba, bila shaka kuanzia siku hiyo nitakubaliana na usawa unaouzungumzia.
Wasalaam.
any way , tusimpuuze huyu mdau nae inawezekana ana aikli
ndugu zangu, najua sote tumeumizwa sana na padri Slaa kutokuwa raisi, juhudi za maaskofu na wana mtandao wengine wa kanisa waliojivika kofia za wanaharakati wa demokrasia hazikusaisia, ifike wakati tuache jazba tuwe wazalendokwani kura zimeamua
hiviiiiiii kwani Biblia ina ruhusu kuiba wake za watu? au tulipo fungua tu ukurasa ulio funguka uliandika kwamba mwanamke hafai kuwa kiongozi,, na tumsaidie mwenzetu juuu ya kazi za spika kama yeye ni mtawala au kiongozi wa bunge, na kama ni kiongozi basi quotation zaka za Biblia hapa hza apply kwani anaekemewa na Mungu ni mwanamke anae watawala wanaume
aaaaaa bana tunatia aibu,,, hivi nani asie jua kuwa kampeni za chadema zilifadhiliwa na Alex Massawe, lile jambazi la Moshi, nani asiye jua fedha za kuendeshea Chadema zinatoka kwa ufulisi na uhujumu uchumi uliofanywa na viongozi waandamizi wake wa akina mzee MTEI,, ANY WAY TUANGALIE TULIKO JIKWAAAIYA SIO TULIPOANGUKIA
TUACHENI UTABIRI WA KINA SHEIKH YAHYA
TUMUACHENI TUMUONE
ukweli ndiyo huo nimemuonw kwenye MMKJJ chanel ana taabu sana but am sure the time is comming ataliaWazee,
Wengi wetu mtakuwa mmeshuhudia jinsi Mama yetu Mhe. Anna Makinda jinsi alivyo-handle maswali ya Mpiganaji Tundu Lissu. Binafsi nimemwona kama ana jazba sana. Jamani hivi kweli Mama huyu atalimudu bunge hili???? Nikiangalia sura za wapiganaji ndani ya mjengoni, naona kama dalili siyo nzuri kwa Mama Makinda. Mnasemaje wadau?