Ni kweli Anna Makinda ni 'Mbabe'?

Ni kweli Anna Makinda ni 'Mbabe'?

mhh naogopa ku comment maana huyu mama analindwa kweli kwlei hapa JF..Muulize Kigogo kafanywa nini kwa kum comment huyu mama...yangu macho

Sidhani kama analindwa kama unavyofikiria wewe ila Kigogo alimtusi huyu mama na hayo sio maadili ya JF wala ya kitanzania kutukantukana watu sembuse kiongozi.... so inatakiwa kama una hoja uitoe na sio matusi, huja hujibiwa na hoja ficha upumbavu wako!!!!!
 
Huyu mwanamama mnafiki tu.............hawa watasababisha tuanze kupigana risasi kwani watapotosha sana umma..............mimi binafsi niliisha sema hafai wengine bado hawaamini.............yeye ni mtaji mkuibwa wa mafisadi...
 
Kumradhi mapema kaka. But this is id!otic. Re-read your post again. Who are you now, a prophet?

Selemani

Sihitaji kurudia kusoma nilichoandika. Najua nilichokiandika na ninakiamini. I am neither a prophet nor an apostle. Huhitaji unabii kujua kile kinachoendelea kwenye nchi yetu kwa sasa. Anne Makinda siyo chaguo la Watanzania baali ni chaguo la Mafisadi hata wewe ndani kabisa kwenye moyo wako unajua hivo. Unless kama unataka kuleta umbeya kwenye forum hii.
Mimi ni Mtanzania mwenye uchungu na nchi yangu. Sikubaliani na ujinga wanaoufanya CCM wa kutuchaguliwa viongozi MAFISADI wanaowataka wao.

Bila shala umenipata.

Kama hukubaliana na mimi sikulazimishi. But the truth shall stand for ever and ever!
 
mafisadi gani hao waliosherehekea kuanguka kwa 6?

Habari za Mafisadi kushangilia kung'olewa kwa 6 zimeandikwa kwenye baadhi ya magazeti yaliyotoka leo. Sikumbuki ni gazeti gani maana nilisikia kwenye redio wakti wanapitia Vichwa vya habari kwenye magazeti. Nimesikia asbh na jioni hii kwenye kipindi cha Jahazi la Clouds FM.

Kwamba MAFISADI hao wamefanya kufuru hiyo kwenye nyumba ya KIGOGO mmoja(Jina wanalo) jijini Dar kwenye mtaa fualni ilipo nyumba ya Kigogo huyo. Naamini wafuatiliaji wa habari nyeti baadaye watatupatia jina la kigogo huyo na hao mafisadi wenzake.

Hata hivo kwa Great Thinkers wa JF wanaweza waka hisi ni vigogo gani walikuwa against Mhe.Sita. Hiyo ni H/work.
 
Akina mama nao wanaweza

you are too general my friend and remember to every general rule there is an exception! na hii haimwachi makinda the soo called first female speaker of ours no integrity at all she has and most important of all she lacks moral authority to fight corruption as she is corrupted even within her marriage life period!
 
Kwa upande wa kidini mwanamke yeyote anaekimbilia kuwa na mamlaka juu ya wanaume huyo anajulikana kama Yezebel. Yezebel ni mwanamke aliyejiweka juu ya watumishi wa Mungu kwa kumpiku mmewe Ahabu aliyekuwa mfalme wakati huo. Huyu spika tuliye naye sasa hana tofauti na Yezebel na kibaya zaidi kawekwa pale na kundi lililojiapisha kudhulumu haki ya wanyonge (mafisadi) na tayari kashaanza kuwazuga wananchi kuhusu maana ya fisadi tofauti na jinsi walivyowapa jina hilo wezi wa hazina ya taifa. Kuhusu usawa wa kijinsia, haiingii akilini kunyanyasa kijinsia kwa maana ya kutibu unyanyasaji kijinsia. Sita hakuondolewa katika nafasi yake kwa kushindwa kuimudu bali ameondolewa pale kwa sababu moja tu kwamba yeye ni mwanamume. Huu ni unyanyasaji wa kijinsia wa kiwango cha juu kabisa. Kama sivyo basi kauli za makamba kuhusu kuondolewa kwa Sitta zifutwe.........Sasa hivi nimepoteza imani na bunge kwa asilimia 85 unless otherwise!

Kiby you're quite right.

Uliyosema kuhusu Yezebeli ni kweli tupu! You know what happened to JEZEBEEL? She became a dog's meat!
Hasira ya Mungu ilimshukia Yezebeli akaishia KUWA CHAKULA CHA MBWA kwa upuuzi wake aliomfanyia Ahabu.

Anne Makinda can be another Jezebeel in Tanzania! Just give her some time.She have already started to display her colours!
 
Siamini kuwa huyu Anna Semamba Makinda aliyechaguliwa na Wabunge wa CCM kwa kishindo baada ya kuteuliwa na CCM(CHAMA CHA MAFISADI) ameanza kuchemsha hata kabla ya Bunge kuanza rasmi.

Anne Makinda ameanza kuropoka na kuongea hovyo kana kwamba bado ni Mbunge wa kawaida. Inasikitisha sana. Kuna kauli mbili zenye utata ambazo tayari ameshazitoa katika siku hizi mbili. Hebu tizijadili:

  1. Kwamba FISADI ni yule anayeiba WAKE ZA WATU. Siamini masikio yangu kama kweli huyu mama ameongea kwa dhamiri toka moyoni au ilikuwa ni joke! Kama ni joke basi HATATUFAA kwenye nafasi hii ya Spika kwasababu huwezi kuanza kuleta utani kwenye maswala ambayo ni very sensitive kama hili la UFISADI. Hii tayari inaanza kutupa picha na uhalisia wa Spika tuliyenaye. Kama ameshaanza kupindisha maana halisi ya UFISADI ndipo tuanze kujua kuwa huyu mama kweli amewekwa na MAFISADI na tayari ameshaanza kazi ya kuwasafisha mafisadi.
  2. Kwamba katika kuzungumzia UHUSIANO wake na Spika Samwel Sitta kuwa ni kaka yake na anamheshimu na kama kuna mazuri au mabaya yaliyofanyika kwenye uongozi wa Spika Sitta na yeye anahusika. Sawa. Kauli iliyonipa utata mimi ni hiii ya kusema kuwa anamuheshimu Spika Sitta na kama Jina la Sitta lingelikuwemo kwenye orodha ya walioomba kugombea Uspika yeye angetoa jina lake!!!Uongo mkubwa. Kila mtu anajua kuwa Sita alishatangaza mapema kuwa ataendelea kuwania kiti chake cha Usipika na mdiyo maana hata mzee wa Vijisenti Chenge alianza kumrushia makombora Sitta kuwa hafai. Katika majina 13 yaliyopelekwa CC jina la Sitta lilikuwemo,Je mbona hatukumsikia Anne akijitoa kumwachia kaka yake Sitta anayemweheshimu. Na kama Chenge alitupa lawama kwa Spika Sitta kuwa aliliongoza Bunge vibaya basi nayeye Makinda ANAHUSIKA MAANA ALIKUWA NAIBU WAKE kwa hiyo na yeye angewajibika kwa kutoa jina lake lakini haikuwa hivo. Kwa hiyo huyu mama ni mwongo,mzushi na kigeugeu na hii inathibitisha tu kuwa ni kweli akatae au akubali ukweli ni kwamba yeye ametumwa na hao MAFISADI kuwa angombee hiyo nafasi ili kumtibulia na hatima yake kumnng'oa Spika Sita ili MAFISADI wapate nafasi ya kufanya mipango yao ya UFISADI na kuandaa Rais wao atakayekuja 2015.
Kwa hiyo BELIEVE ME,ANNA MAKINDA HATAKUWA SPIKA MZURI WA HILI BUNGE LA 10. YEYE ATAKUWA NI MWANAMKE WA KWANZA KUWA SPIKA NA SPIKA ALIYE MBOVU KABISA KULIKO MASIPIKA WOTE WALIOWAHI KUONGOZA BUNGE LA TANZANIA TOKEA WAKOLONI MPAKA SASA.

Wakti mwingine inabidi watu turudi kwenye vitabu vitakatifu kabla hatujachukua maamuzi. Kweli watu wanazungumzia GENDER ISSUES,GENDER EQUALITY,etc. Usawa na upuuzi mwingine kama huo. Lakini hebu tuwe wa kweli wa kusema;call a spade a spade and not a big spoon. Biblia inasema SIMPI RUHUSA YA MWANAMKE KUMTAWALA MWANAMME.Yes,I like this. Utasema oh,mfumo dume,oh unyanyasaji wa kijinsia etc,etc.Lakini ukweli utasimama. Mwanamke hapashwi kuongoza wanaume,NEVER! Hiyo ni Biblia,Huyo ni Mungu. Anayepingana na hilo ataona matokeo yake. CCM kimetufikisha hapo kwa kisingizio cha kijinga kabisa! Kwamba ati tangu tupate uhuru nchi yetu haijawahi kuweka mwanamke kwenye mojawapo ya mihimili 3 ya nchi! Ebo,yaani all thise years mlikuwa wapi,mmekuja kuzinduka kwenye kiti cha Usipika 2010 kuwa ndiyo awe mwanamke. Basi na Waziri Mkuu 2010 awe mwanamke na Rais wa 2015 wekeni mwanamke halafu mtaona muziki wa kinamama kuendesha nchi!! Hivi kwanini mnafikiri Mungu amekataza wanawake wasiwatawale wanaume? Kwanini wanawake hawaruhusiwi kuwa Wachungaji au Mapadre?Je, kuna mwanamke anaweza kumuweka mwanamme mimba?? Show me one. Watu wanatafsri vibaya kuhusu hii lugha ya usawa. Ni katika maeneo fulani fulani tu siyo kuwa mwanamke anaweza kufanya kila jambo. Kuna mambo wanawake hawayawezi na hawatakaa wayaweze hata siku moja!Maumbile yao proves what they are. Biblia ina sema kuwa KAENI NA WANAWAKE KWA AKILI MAANA NI VIUMBE DHAIFU.That is the Bible. Kiumbe dhaifu unakipa kuongoza mhimili wa nchi kama Bunge,what do you expect?Sitaki kuingia sana into details kuhusu hayo lakini is a big discussion forum.

Mbona JK hakuanzaia kwake kwa kujitoa kwenye kugombea Urais akawaachia mwanamke ili awe Rais wa kwanza mwanamke? Kwanini Mwanamke aanzie kwenye Bunge kama siyo ilikuwa janja ya kumwengua Sitta.
Matokeo yake hayako mbali sana mtaanza kuyaona muda si mrefu.

CCM msifikiri Watanzania tunadanganyika kwa upuuzi wenu huu mnaowafanyia. Anne Semamba Makinda tuna uhakika AMEWEKWA KWA AJILI YA MASLAHI YA MAFISADI n akuna gazeti leo limeandika kuwa MAFISADI WAMEKUNYWA POMBE KUSHANGILIA KUONG'OLEWA KWA SPIKA SITTA.

Iko siku CCM mtakuja kulipia uhuni mnatufanyia Watanzania.

Wasaalamu.

Soma kamusi ya kiwahili sanifu ndipo utakubali tafsiri ya huyo mama kuhusu neno Fisadi.
 
Akina Makoye2009 ndiyo nyinyi munaokaa mumejifungia na kuanza kusema vitu vya ajabu ajabu visivyokuwa na mpangilio kwa visingizio vya kuchomoa sentensi moja kutoka kwenye kitabu cha dini na kukitolea maelezo kwa urefu.

Si ajabu wewe wasichana walikuwa wanakupita kwa saaaaaana huko madarasani ndiyo maana ukawa na hasira. Na hata hizo arguments zako zinaonyesha hivyo.

Endeleeni kulala tu akina nyinyi. Muwacheni mama wa watu aongoze mumeanza kumhujumu hata hajaanza kazi.

Kwani huyo Sitta ndiyo msafi hivyo?
 
Naomba nikusaidie.

1. Tafsiri rasmi ya FISADI... ndiyo hiyo aliyotoa huyo mama.

2. Kuhusu kumwachia SITA anamaanisha ingekuwa kwenye majina matatu ya kwenda kwenye uchaguzi ndani ya wabunge wa CCM angetoa jina lake. Hii ni sawa sawa na Jenista Mhagama alivyomwachia Job Ndugai.

Sasa kosa wapi hapo?
 
Kama alichoandika makoye2009 kwamba alichosemea Makinda ni sahihi then ngoja nipumzishe kichwa nisije kula ban usiku huu!
 
Mama Makinda nasali pamoja naye Mwenge Kanisani..Jamani ni fisadiii nayeee???
 
Sifa kubwa ambayo ssm wanataka kuwarithisha watanzania ni UNAFIKI na Mama hana jipya anauendeleza. Ole wako wananjombe kusini wakizinduka usingizini. Muulize Masha!!!! mtzzzzzzzssss
 
any way , tusimpuuze huyu mdau nae inawezekana ana aikli

ndugu zangu, najua sote tumeumizwa sana na padri Slaa kutokuwa raisi, juhudi za maaskofu na wana mtandao wengine wa kanisa waliojivika kofia za wanaharakati wa demokrasia hazikusaisia, ifike wakati tuache jazba tuwe wazalendokwani kura zimeamua

hiviiiiiii kwani Biblia ina ruhusu kuiba wake za watu? au tulipo fungua tu ukurasa ulio funguka uliandika kwamba mwanamke hafai kuwa kiongozi,, na tumsaidie mwenzetu juuu ya kazi za spika kama yeye ni mtawala au kiongozi wa bunge, na kama ni kiongozi basi quotation zaka za Biblia hapa hza apply kwani anaekemewa na Mungu ni mwanamke anae watawala wanaume

aaaaaa bana tunatia aibu,,, hivi nani asie jua kuwa kampeni za chadema zilifadhiliwa na Alex Massawe, lile jambazi la Moshi, nani asiye jua fedha za kuendeshea Chadema zinatoka kwa ufulisi na uhujumu uchumi uliofanywa na viongozi waandamizi wake wa akina mzee MTEI,, ANY WAY TUANGALIE TULIKO JIKWAAAIYA SIO TULIPOANGUKIA

TUACHENI UTABIRI WA KINA SHEIKH YAHYA

TUMUACHENI TUMUONE

Jordan unaonesha kipaji kikubwa sana cha udaku, kwa pumba ulizomwaga hapa. Umeingia humu kwa gia mbaya kabisa. "ficha upumbavu wako, usifiche hekima yako"
 
Akina Makoye2009 ndiyo nyinyi munaokaa mumejifungia na kuanza kusema vitu vya ajabu ajabu visivyokuwa na mpangilio kwa visingizio vya kuchomoa sentensi moja kutoka kwenye kitabu cha dini na kukitolea maelezo kwa urefu.

Si ajabu wewe wasichana walikuwa wanakupita kwa saaaaaana huko madarasani ndiyo maana ukawa na hasira. Na hata hizo arguments zako zinaonyesha hivyo.

Endeleeni kulala tu akina nyinyi. Muwacheni mama wa watu aongoze mumeanza kumhujumu hata hajaanza kazi.

Kwani huyo Sitta ndiyo msafi hivyo?

Bitimkongwe ulijuaje kuwa mimi ni mwanamme?

Yes mimi ni dume la mbegu. Kwa taarifa yako maisha yangu ya shule hakuna mwanamke aliwahi kunipita darasani toka shule ya msingi mpaka chuo. Mwanamke ninayempanda hawezi kunizidi akili hata siku moja maana itakuwa ni kupingana na Muumba wangu. Nakumbuka maisha yangu ya Chuo kuna wanawake waliokuwa tunawaita ma-graduate wa (Digrii za marks za Chupi) I am sorry to say this. Kwamba wanawake/wasichana walikuwa wakigawa mapenzi kwa Lecturers/Professors ili wapewe marks nzuri za kuwafanya wamalize Digrii zao! Je,wewe ni graduate na ulipata digrii yako bila rushwa ya ngono? Hiyo ni siri yako!Huo ndio ukweli na hilo lipo kwenye vyuo vingi. Namshukru Mungu alinifanya niwe mwanamme ili niweze kutawala kwa maana mimi nimeumbwa tofauti na wewe kwa kila kitu. Siku zote nikiongea na wanawake linapokuja swala la usawa wa kijinsia kuwa tuko sawa huwa nawaambia hivi:KAMA TUKO SAWA NA AJITOKEZE MWANAMKE ATAKAYENIDUNGA MIMBA!. Huwa wanaishia kucheka tu kwasababu ni ukweli ambao hawawezi kuupinga.

Naomba na wewe unipe contact tukutane mahali kama utaweza kunitia mimba, bila shaka kuanzia siku hiyo nitakubaliana na usawa unaouzungumzia.

Wasalaam.
 
Naomba nikusaidie.

1. Tafsiri rasmi ya FISADI... ndiyo hiyo aliyotoa huyo mama.

2. Kuhusu kumwachia SITA anamaanisha ingekuwa kwenye majina matatu ya kwenda kwenye uchaguzi ndani ya wabunge wa CCM angetoa jina lake. Hii ni sawa sawa na Jenista Mhagama alivyomwachia Job Ndugai.

Sasa kosa wapi hapo?

Kasheshe,

(1)Kama Anne Makinda amesema kuwa maana ya FISADI ni mtu anayechukua wake za watu kulingana na hiyo kamusi yake basi anataka kuwaaminisha Watanzania kuwa HAWAJUI MAANA YA NENO FISADI na hiyo 'list of shame' iliyowahusisha MAFISADI wote wa EPA na RICHMOND ambao baadhi yao tayari wako mahabusu ni ya uongo na hao watuhumiwa waachiwe huru mara moja maana hawakuiba wake za watu baali walikwapua pesa ya walipa kodi wa Tanzania na huo siyo ufisadi.

Nataka Anne Makinda aitishe press conference atoe ufafanuzi wa neno FISADI na aombe radhi kwa Rais wake JK na Watanzania kwa kuwatukana. Kauli ya huyu mama kuhusu UFISADI inaanza kuleta kichefuchefu mioyoni mwa Watanzania. Kwa maana nyingine vita inayopiganwa zidi ya ufisadi anataka kuirudisha nyuma! Ndiyo mana tunasema amewekwa pale kuzima juhudi zote za kupiga vita rushwa.

Kwenye English Dictionary neno CORRUPTION ambalo kiswahili chake linaunganisha maneno ya RUSHWA na UFISADI kwa pamoja inasema hivi:

1.Corrupt: (a)Immoral;Dishonest
(b)Impure

2.Corrupt🙁a)to make or become~employees whose morals have been corrupted.
(b)corruptible goverment officials

Kweli neno linaweza kuwa na maana zaidi ya moja. Hapa tunaona maana ya kwanza ya Corruption inaonyesha kuwa ni Uchafu au kutokuwa msafi wa moyo. Hii inahusisha mambo mengi kama vile uzinzi,uasherati,umalaya,wizi,uongo n.k.

Lakini hii maana ya pili ndiyo ambayo hasa tunayoizungumzia kwenye MAADA YETU HII KUHUSU UFISADI. Na hii ndiyo aliyotakiwa Mama Anne Semamba Makinda aizungumzie na si vinginevyo. Yawezekana hiyo kamusi yake ya Kiswahili aliyotumia nayo ina maana mbili kwa hiyo yeye alitakiwa aende direct kwenye maana ya Corruption ya WIZI NA UFUSHAJI WA MALI YA UMMA NA SIYO KUISHIA MAANA YA KWANZA YA UCHAFU WA MOYO AMBAYO imebeba mambo mengi siyo wake za watu tu.

(2).Kuhusu hili la kutoa Jina kwenye wagombeaji wa kiti cha Usipika Makinda hawezi kutushawishi kuwa alikuwa na nia ya dhati ya kujitoa kwenye kinyang'anyiro cha kiti cha Usipika.Kwanini alikuwa anasubiri mpaka majina yabakie 3 wakati alikuwa anajua kabisa jina la Bosi wake Sitta lilikuwemo tangu mwanzo wa mchakato? Hapa Makinda hasemi ukweli,ndiyo maana natilia shaka uaminifu au ukweli wa m/mke. Hata kama majina yangebakia matatu na Sita akiwemo asingetoa jina!

Yeye akubali tu kuwa alishapandikizwa na MAFISADI wake. Full stop.
 
any way , tusimpuuze huyu mdau nae inawezekana ana aikli

ndugu zangu, najua sote tumeumizwa sana na padri Slaa kutokuwa raisi, juhudi za maaskofu na wana mtandao wengine wa kanisa waliojivika kofia za wanaharakati wa demokrasia hazikusaisia, ifike wakati tuache jazba tuwe wazalendokwani kura zimeamua

hiviiiiiii kwani Biblia ina ruhusu kuiba wake za watu? au tulipo fungua tu ukurasa ulio funguka uliandika kwamba mwanamke hafai kuwa kiongozi,, na tumsaidie mwenzetu juuu ya kazi za spika kama yeye ni mtawala au kiongozi wa bunge, na kama ni kiongozi basi quotation zaka za Biblia hapa hza apply kwani anaekemewa na Mungu ni mwanamke anae watawala wanaume

aaaaaa bana tunatia aibu,,, hivi nani asie jua kuwa kampeni za chadema zilifadhiliwa na Alex Massawe, lile jambazi la Moshi, nani asiye jua fedha za kuendeshea Chadema zinatoka kwa ufulisi na uhujumu uchumi uliofanywa na viongozi waandamizi wake wa akina mzee MTEI,, ANY WAY TUANGALIE TULIKO JIKWAAAIYA SIO TULIPOANGUKIA

TUACHENI UTABIRI WA KINA SHEIKH YAHYA

TUMUACHENI TUMUONE
Natamani kukutusi ila naogopa ban.
 
Back
Top Bottom