Ni kwanini ni vigumu kumngoja BWANA?

Ni kwanini ni vigumu kumngoja BWANA?

Imani Siyo jambo la mchezo .

Unashida Leo , inabidi uamini kuwa Jambo limetokea na hata dalili la kuliona kutokea huoni.

Kama unaweza kutumia maarifa na kufanikiwa tumia.
&
Imani ni faida ya hao walio nayo.
Sawa mkuu¡¡¡
"""Basi imani ni kuwa na hakika na mambo yatarajiwayo,,,,, ni bayana ya mambo yasiyo onekana......
Waebrania 11:1
 
Sina cha kujifunza kwenye mambo ya imani
iman haina ushahidi ni kama unavyoamin mtu fulan ni mgonjwa au anapumua ukiabiwa onesha roho ya mtu huwezi lakn unaamin kwamb kila mtu anaroho UKITAKA USHAHIDI AMINI KATIKA IMANI
 
Kama haina ushahidi, ibaki kanisani, ukileta jukwaa huru tunataka ushahidi, tofauti na hapo ni adakadabra tu
 
Ukishasema jukwaa huru basi hakuna ulazima wa kuleta ushahidi. Kila mtu abaki na uhuru wake
 
Kama hauna ushahidi hana vigezo vya kunishawishi chochote, hili ungemueleza yeye na sio mimi
 
Kama haina ushahidi, ibaki kanisani, ukileta jukwaa huru tunataka ushahidi, tofauti na hapo ni adakadabra tu
upo sahih kikubwa kila mtu aheshimu iman ya mwenzake kila mtu na karma yake kuna watu wanaamin uwezo wao mkubwa wa akili,wengne jua, pesa n.k
Tunaagaliaga mambo tunayoendana tunashirikiana
 
Zamani watu walikuwa miti na mawe makubwa na maisha yanasonga. Siku hizi ni kupigwa visadaka unatoa hadi unakufa ukimsubiria huyo bwana. Mwisho wa dunia ni siku umekufa my friend. Ukipiga hesabu hata hapo unaposali waanzilishi wake asilima kubwa walishang'atuka yaan washajikataa kitambo sana.
 
Sitaki kuamini nataka kujua ukitoa dai weka uthibitisho basi
 
Kama hauna ushahidi hana vigezo vya kunishawishi chochote, hili ungemueleza yeye na sio mimi
Nakueleza wewe kwa vile naona kama unataka kila anaeposti jambo kuhusu imani yake lazima afanye utakavyo wewe. Jukwaa huru kwa kila mmoja kitoa maoni yake. Kukosa kwako kuamini isiwe kigezo cha kutumia nguvu nyingi kunyima wanaoamini uhuru wao. Mbona wewe hauthibitishi madai yako, unaleta Hadithi za esopo
 
Zamani watu walikuwa miti na mawe makubwa na maisha yanasonga. Siku hizi ni kupigwa visadaka unatoa hadi unakufa ukimsubiria huyo bwana. Mwisho wa dunia ni siku umekufa my friend. Ukipiga hesabu hata hapo unaposali waanzilishi wake asilima kubwa walishang'atuka yaan washajikataa kitambo sana.
Asante mkuu... ni maoni yako so... mimi nimechagua kumngoja nikaona ngoja nimsanue na mkuu kama atakubali tujoin...
 
Nakueleza wewe kwa vile naona kama unataka kila anaeposti jambo kuhusu imani yake lazima afanye utakavyo wewe. Jukwaa huru kwa kila mmoja kitoa maoni yake. Kukosa kwako kuamini isiwe kigezo cha kutumia nguvu nyingi kunyima wanaoamini uhuru wao. Mbona wewe hauthibitishi madai yako, unaleta Hadithi za esopo
Mimi nimeleta kile nacho amini.... na nina heshimu mawazo ya mtu...... so kila mtu lazima afanye maamuzi kivyake kikubwa kila mtu aheshimu mawazo ya mwenzake....
 
Fuatilia mazungumzo toka mwanzo acha mihemko ya kijinga
 
Mimi nimeleta kile nacho amini.... na nina heshimu mawazo ya mtu...... so kila mtu lazima afanye maamuzi kivyake kikubwa kila mtu aheshimu mawazo ya mwenzake....
Imani zinaheshiwa na hakuna anaye lazimisha watu waziache ni haki yako kikatiba ila humu ukitoa madai ya imani yako kuwa ni hakika weka uthibitisho, sio kila mtu ana taka kuamini tu
 
Asante mkuu... ni maoni yako so... mimi nimechagua kumngoja nikaona ngoja nimsanue na mkuu kama atakubali tujoin...
nisubiri namjua ndugu yangu, kwa kichapo alichopewa kweli hata yeye aamue kurudi tena ati kama mwizi si ndo watamchoma kabisa ndugu yangu.
 
Mda utaongea mkuu....... kama ni kweli au la¡¡¡
 
Back
Top Bottom