min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 59,462
- 171,579
Usirudie tena matusiNakueleza wewe kwa vile naona kama unataka kila anaeposti jambo kuhusu imani yake lazima afanye utakavyo wewe. Jukwaa huru kwa kila mmoja kitoa maoni yake. Kukosa kwako kuamini isiwe kigezo cha kutumia nguvu nyingi kunyima wanaoamini uhuru wao. Mbona wewe hauthibitishi madai yako, unaleta Hadithi za esopo