Ni kwanini ni vigumu kumngoja BWANA?

Ni kwanini ni vigumu kumngoja BWANA?

Ni kweli kumngoja Bwana imekuwa changamoto kwa wengi wetu, kama walivyotangulia kusema baadhi ya wajumbe, nami niongeze kidogo;

Wengi hatuna msingi wa neno la Mungu, tunataka Mungu afanye tunavyotaka kisha tuendelee na mambo yetu yanayomchukiza Mungu.

Vingine tunavitaka kwa tamaa zetu, Mungu akiangalia nia ya vile tunavitaka hivyo vitu anakaa kimya.

Na wale ambao tupo vizuri na Mungu, dunia inatuvuta kwa mengi mazuri, tunaona kama tunachelewa, na hatuishi katika viwango vinavyotakiwa.

Lakini ukiwa na subira/uvumilivu lazima uvune matunda mema, Mungu hutuandaa hatua kwa hatua kupokea yale tunayataka.

Ndio maana mtu anayemwamini Mungu akipata mafanikio, anaweza kudumu nayo muda mrefu kama ataendelea kuwa na uhusiano naye mzuri.

Muhimu ni kuamini Mungu wetu anatupa yale tunayoyahitaji kwake sawasawa na mapenzi yake na kwa wakati wake.

Mungu akubariki sana
 
Ni dhahiri kama theist umeshindwa kuthibitisha uwepo wa Mungu au pia na wewe kuna namna una mashaka na uwepo wake
Let me be clear.
As Gnostic theist nina uhakika na madai yangu tatizo hapa ni wewe kutokubaliana nami, weka mezani uthibitisho wako kuwa mungu hayupo then nikupe proof uwepo wake. burden of proof . Both team to score
 
Let me be clear.
As Gnostic theist nina uhakika na madai yangu tatizo hapa ni wewe kutokubalina nami, weka mezani uthibitisho wakonkuwa mungu haypo then nikupe proof ua uwepo wake. burden of proof . Both team to score
Una uhakika weka uthibitisho hapa kitu kirahisi kabisa , Mungu muweza wa yote na mwenye upendo hayupo kamwe
 
Hayupo kama yupo yupo wap? Yupo inaanza inafuata hayupo, unazunguka mbuyu tu
Kumbe hata hujui maana ya uthibitisho.
Hayo yako ni madai hakuna uthibitisho hapo. Kutojua jambo haina maana halipo. Lete fact with evidences.
 
Kumbe hata hujui maana ya uthibitisho.
Hayo yako ni madai hakuna uthibitisho hapo. Kutojua jambo haina maana halipo. Lete fact with evidences.
Thibitisha uwepo wa Mungu , hizo ni porojo bado unapiga tu
 
Huna uthibitisho so cool
Siku nyingine usidakie mada , bila kuwa na uelewa mpana , Hauna uhakika wa uwepo wa Mungu ndio maana uzunguka zunguka tu, mtu hawezi pinga hayupo bila mwingine kuanza kusema yupo, kama yupo thibitisha hapa ili tujue , hakuna atakae jua ,akapinga tena simple tu
 
Back
Top Bottom