Benoit
JF-Expert Member
- Jun 1, 2026
- 746
- 1,652
Huna uelewa wowote. Otherwise ungeleta proof ya madai yakoSiku nyingine usidakie mada , bila kuwa na uelewa mpana , Hauna uhakika wa uwepo wa Mungu ndio maana uzunguka zunguka tu, mtu hawezi pinga hayupo bila mwingine kuanza kusema yupo, kama yupo thibitisha hapa ili tujue , hakuna atakae jua ,akapinga tena simple tu