Marcostilone
JF-Expert Member
- Jun 25, 2023
- 6,875
- 17,211
Ndiyo iko hivyo Mkuu.Ila ni kweli, hata ukitafuta kitu for a long time ukikipata lazima ukiheshimu....
Ndiyo iko hivyo Mkuu.Ila ni kweli, hata ukitafuta kitu for a long time ukikipata lazima ukiheshimu....
Thibitisha uwepo wakeMuumbaji wa mbingu na nchi...
Yupo ndani yangu wewe ujue mimi nisijue ? Punguza bangiYupo ndani... yako tayari....
Inasikitisha sana...... hilo jambo liliwaangamiza wengi sana.... tunamtumaini MUNGU kwa sababu atatue changamoto zote bila kujua kuna wakati MUNGU anaona sio wakati sahihi kupata jambo fulani...Hata musa alipochelewa/ kawia kule mlimani tuliendelea na haruni kidogo na sanamu, Na Mungu alielewa akatusamehe
Ok¡¡¡ uwepo wake uko kila mahali... na anataka kila mwanadamu amuamini kwa moyo wa kweli,,, so kama bado unataka kumuona atajifunua kwako kwa kadiri ya mapenzi yake na bado anakungoja mkuu¡¡¡Yupo ndani yangu wewe ujue mimi nisijue ? Punguza bangi
Thibitisha uwepo wa Mungu sitaki mahubiriOk¡¡¡ uwepo wake uko kila mahali... na anataka kila mwanadamu amuamini kwa moyo wa kweli,,, so kama bado unataka kumuona atajifunua kwako kwa kadiri ya mapenzi yake na bado anakungoja mkuu¡¡¡
- Wanataka majibu ya haraka.
Binadamu kwa asili hupenda kuona matokeo ya haraka. Kusubiri huwa kugumu, hasa wakati wa matatizo ya kifedha, magonjwa, changamoto za kifamilia au mahusiano. Mara nyingi watu huona ni afadhali kuchukua hatua mara moja kuliko kusubiri.- Hofu ya kupoteza fursa.
Watu huogopa kwamba wasipochukua hatua sasa watapoteza kazi, biashara, ndoa au nafasi nyingine muhimu. Hofu hii huwafanya wategemee muda wao wenyewe badala ya muda wa Mungu.- Ni vigumu kumwamini Mungu bila kuona matokeo mara moja.
Kumngoja Mungu kunahitaji imani. Kwa kuwa mipango ya Mungu haionekani mara moja, watu huanza kujiuliza:
- Je, Mungu ananisikia?
- Je, hali yangu itabadilika kweli?
- Je, nasubiri bure?
- Shinikizo la dunia ya leo.
Dunia ya sasa inathamini mambo ya haraka:
- Mawasiliano ya papo kwa papo.
- Huduma za haraka.
- Mafanikio ya haraka.
- Kutimiza mahi
Thibitisha kuwa kila mtu atachukua furushi lake na sio moto wa kiimani tuSawa¡¡¡ mkuu. uko sawa kila mtu atachukua fulushi lake mwenyewe¡¡¡
Meku hii vita ngumu.Thibitisha uwepo wake
Yeah mambo ya kiimani tu hayo, kuwa kwenye uhalisia haiwekaniMeku hii vita ngumu.
Kuna mtu alishindwa kesi kwa kushindwa kuthibitisha kwamba yule mungu wa kenya sio mungu halisi.
Imethibitishwa wapiImethibitishwa¡¡¡ na ni hakika mkuu
True, sasa mbona unamtaka jamaa athibitishe jambo la kiimani wakati unajua haiwezekani.Yeah mambo ya kiimani tu hayo, kuwa kwenye uhalisia haiwekani