Ni kwanini ni vigumu kumngoja BWANA?

Ni kwanini ni vigumu kumngoja BWANA?

Hiyo waefeso ni hadithi kama za juma na uledi tu , ambazo zimejengewa imani ukisema ni uhakika weka uthibitisho hapa
Waefeso imetokana na mji uliokuwa unaitwa
Efeso... Mtume paulo akawaandikia barua kuwaimarisha kiimani... Huyo juma na uledi ndio vinini..........
 
Waefeso imetokana na mji uliokuwa unaitwa
Efeso... Mtume paulo akawaandikia barua kuwaimarisha kiimani... Huyo juma na uledi ndio vinini..........
Usiwe una reply vitu ambavyo hauna uwezo navyo .
 
mwenye kuvumilia... Hata mwisho ndiye atakaye okoka¡ ni bora kufanya maamuzi mapema¡¡¡ kuliko kukata tamaa ukiwa safarini.
Hayo ni maandiko na ndivyo ilivyo.
Nimemjibu aliyesema ni ngumu kumngoja Bwana.
 
Mi naendelea na madhambi yangu kama kawaida,,kama yesu alimsamehe yule kahaba kwakweli pombe siachi
 
"""Bali wao wamngojeao BWANA watapata nguvu mpya;,,,, watapanda juu kwa mbawa kama tai;,,, watapipiga mbio wala hawatachoka;,,,, watakwenda kwa miguu,,, wala hawatazimia"""
Zaburi 40:31......

"""Umngoje BWANA uwe HODARI,,,, Upige moyo konde,,,,,, naam umngoje BWANA.....
Zaburi 27:14......

Kwanini leo ni vigumu, kumngoja BWANA???

Cc: Samson Ernest, Baba mtakatifu91, Dogoli kinyamkela, Matunzo 02, Mopak, Seran
Imani Siyo jambo la mchezo .

Unashida Leo , inabidi uamini kuwa Jambo limetokea na hata dalili la kuliona kutokea huoni.

Kama unaweza kutumia maarifa na kufanikiwa tumia.
&
Imani ni faida ya hao walio nayo.
 
Back
Top Bottom