Ni kwanini mahandsome wanapendwa sana na wadada?

Ni kwanini mahandsome wanapendwa sana na wadada?

Kwa hyo lijamaa li sponsor kisa lina sura ya tofali na vinyweleo puani mnayaficha mkiwa location mkipiga pcha mnalificha na emoji [emoji848][emoji16]mbona nyie ni wakatili hvyo ?

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] haya mambo yapo kuna mama mmewe jamani daa, kama kuna sherehe mke huenda pekeyake mme yeye ni bar tu mwenyewe anajinywea huko, pesa anayo yakutosha, wakati tunaongea eti yeye kafuata pesa tu wao kuwa pamoja ni nyumbani tu mtaani marufuku, ila vibaya jamani!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ase wanaume tufanye kaz pochi iwe nene. Hizi habari ni za kizamani sana enz hizo ujinga ni mwingi. Nowdays hawa watu wanaangalia pochi. Mtu anaenda kwao na six pack we unaenda na six million unaopoa mzigo afu unalipa six hundred unaamsha popo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Pochi nene

Sent using Jamii Forums mobile app
na kibaya sasa
Kati ya watoto watano,wawili si wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa Africa ukiwa na hizi💵💵💰💱 umemaliza kila kitu.... Labda kwa wenzetu.,wale ni wagumu sana kutoa.


Pesa anapewa mke wa ndoa si changudoa wala kipita njia. Malaya haongwi, ni kuchapa tu na kumpa offer kisha unaenda nyumbani kumpa mkeo pesa.
 
Back
Top Bottom