Ni kwanini mahandsome wanapendwa sana na wadada?

Ni kwanini mahandsome wanapendwa sana na wadada?

Hujawahi ona wadada wako kumk au ishirini wanampigania mtu hana hela anaishi single room ila ananguo simu ya touch na ni anarasta .
Always nimzuri ndio maana anajua kukulegeza mpaka unaingia kingi kwa maneno mazuri ya mahaba.
Simu inaita kama kibanda cha simu na message kama za promotion.
Masaa yote.
Ni huduma nzuri wenzenu wanatoa mjipangee.
 
Siku hizi handsome ni pesa tu..Ata ukiwa na sura mbaya utapendwa tu.. 😑
 
Ukiwa handsome ata ukipenda hauaminiki-inauma sana

Unakuwa mtu wakutumiwa na kucheleweshwa kwa ndoto zako.

U-handsome una hasara nyingi kuliko faida
Na hasara kubwa zaidi ni umaskini.
Umeongea kwa hisia sana,bila shaka wewe ni handsome eeh,polee
 
Wadada wanataka hela u-handsome bila hela ni sawa na shoga tu;mwanaume tafuta hela,huo ndio ukweli.
 
Nani kakuambia mi ni mwanaume somaga nyakati ningekuwa mwanaume na hili baridi na nyegeza saizi sio niko busy na chart na wanajamii
Inategemea mkuu,wakati mwingine mashine inabidi ipumzike kwa sababu imesaga sana
 
Back
Top Bottom