Ni kwanini mahandsome wanapendwa sana na wadada?

Ni kwanini mahandsome wanapendwa sana na wadada?

Mkuu sisi bila mkwanja hatujaona papuchi. Lakini wale wenye sura za mama zao wanakula papuchi bure bure tena bila mtongozo. Dunia haina usawa asee. [emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Kwan wew hujawahi kutongozwa?

Yaan msichana akikutongoza mara nyingi hawasemi live ila vitendo.

Mara nyingi wasichana hutongoza wavulana mahendsome hata kama maskini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijivunii kua handsome ila sijawahi kutongoza mwanamke hdi nafikisha umri huu ni wenyewe tu hata namba ujui mtu katoa wapi wengine wadada wabaya tena wanakulilia hadi machozi sometime naona inakua kero kwa muonekano nlvo
 
🤣🤣🤣kwelii.....tuma kapicha tuone
 
U handsome bila hela sikuhizi ni sawa na kunywa chai bila sukari hata nyuki hatui.. utafubaaa cheo kitashuka toka kwenye u handsome mpk utasikie wanakusema "yule kaka kakaa kama insyuka"[emoji23][emoji23]

Mkuu tutafute hela mengine tutayakuta huko mbela ya hela.

‘hendisamu’ bila pesa cheo kinashuka anakuwa Mario.
 
Chindy kuna watu ma photogenic wapo kwenye picha anaonekana mkali ila muone live sasa utamkimbia...
 
Sisi wenye sura za kushindia tutafute hela, nasema tutafute hela tu.... kikubwa uhai.
 
Unakuta hadi wake za watu macho 😍😧🙀 kwa mshangao mkaka ambaye nihandsome akipita.
Au akiwa mgahawani au mahala popote macho hushtuka na kutamani huyo mkaka hata kaka ni lofa .
WhyView attachment 1412936
Dogo ukiwa na pesa kwa wasichana wa sasa we ni handsome kuliko hao masharobaro, utagegeda kila aina na msichana na utalogwa na hao mabinti ili wakumiki, nasisitiza pesapesa use nazo utaona raha ya dunia
 
Mi demu
 
Back
Top Bottom