Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,498
- 18,353
Ningekuwa sijaokoka, ninge comment kitu hapaNani kakuambia mi ni mwanaume somaga nyakati ningekuwa mwanaume na hili baridi na nyegeza saizi sio niko busy na chart na wanajamii
Ningekuwa sijaokoka, ninge comment kitu hapaNani kakuambia mi ni mwanaume somaga nyakati ningekuwa mwanaume na hili baridi na nyegeza saizi sio niko busy na chart na wanajamii
Kuna jamaa, huwa anamtanguliz mkewe mbeleeee kama mita saba ivi..Wanavutia yani unaweza toka nae kwenda popote bila kuona aibu kutambulisha kua yeye ndo wako
Mkuu unabeep na kukimbia jf.. Karibu tena
Sura zao zinavutia kuangalia usoni tofauti na badman sura haziangalizikiUnakuta hadi wake za watu macho 😍😧🙀 kwa mshangao mkaka ambaye nihandsome akipita.
Au akiwa mgahawani au mahala popote macho hushtuka na kutamani huyo mkaka hata kaka ni lofa .
WhyView attachment 1412936
Mwali, kwani ukitoka na mimi kwenda popote utachekwa na nani..!!??Wanavutia yani unaweza toka nae kwenda popote bila kuona aibu kutambulisha kua yeye ndo wako
Hizi thread nyingine utadhani mtu yupo quarantine ktk zile hostel tena yupo juu ya decker 🤣Unakuta hadi wake za watu macho 😍😧🙀 kwa mshangao mkaka ambaye nihandsome akipita.
Au akiwa mgahawani au mahala popote macho hushtuka na kutamani huyo mkaka hata kaka ni lofa .
WhyView attachment 1412936
na hii nimeiona sana!Ndo ujue na wao wanapenda wanawake wabaya
[emoji23][emoji23] mkuu una maneno kwelWale hawatambulishwagi[emoji23] utajiongeza mwenyewe
Kwa hyo lijamaa li sponsor kisa lina sura ya tofali na vinyweleo puani mnayaficha mkiwa location mkipiga pcha mnalificha na emoji [emoji848][emoji16]mbona nyie ni wakatili hvyo ?Wanavutia yani unaweza toka nae kwenda popote bila kuona aibu kutambulisha kua yeye ndo wako
Hahahaha kazi za wadada wa mujini hizo sisi wa liwale hatuyajui, hatuna habariKwa hyo lijamaa li sponsor kisa lina sura ya tofali na vinyweleo puani mnayaficha mkiwa location mkipiga pcha mnalificha na emoji [emoji848][emoji16]mbona nyie ni wakatili hvyo ?
Sent using Jamii Forums mobile app