Ni kwanini mahandsome wanapendwa sana na wadada?

Ni kwanini mahandsome wanapendwa sana na wadada?

🤣🤣🤣 mengi yapi?
Mengi tu... Sababu u-handsome hautegemei tabia ya mtu,kipato chake au upendo wake kwako... Ni mtu anazaliwa nao tu... Vipi kama asiye handsome akawa vizuri zaidi kwenye hayo maeneo, huoni utakosa vingi😊
 
Back
Top Bottom