Goddess
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 7,397
- 25,841
Kwani mm nmetoa nn?! Swali au?!Whatever the case ww ndo utakayepambana na hali yako. Mm nimetoa maoni tu.
Kwani mm nmetoa nn?! Swali au?!Whatever the case ww ndo utakayepambana na hali yako. Mm nimetoa maoni tu.
Bila picha sikuelewi kbsa mkuu [emoji848]Sijivunii kua handsome ila sijawahi kutongoza mwanamke hdi nafikisha umri huu ni wenyewe tu hata namba ujui mtu katoa wapi wengine wadada wabaya tena wanakulilia hadi machozi sometime naona inakua kero kwa muonekano nlvo
Maoni yako ndo yamenipelekea kutoa maoni na kuhitimisha kuwa ww ndiye utapambana na hali yako. Kwani kuna tatizo? Au tufanye mm ndo ntapambana na hali yako.Kwani mm nmetoa nn?! Swali au?!
Yes teseka na hali yakoMaoni yako ndo yamenipelekea kutoa maoni na kuhitimisha kuwa ww ndiye utapambana na hali yako. Kwani kuna tatizo? Au tufanye mm ndo ntapambana na hali yako.
Kwann wacheka
Hali yako na si yangu, soma vzr. Hilo la hali yangu lipo wazi. ww tu ndo umeanzisha ligi kuhusu kupambana na hali yako.Yes teseka na hali yako
Haiyah
[emoji119]yalishaishaHali yako na si yangu, soma vzr. Hilo la hali yangu lipo wazi. ww tu ndo umeanzisha ligi kuhusu kupambana na hali yako.
Ok beautiful[emoji119]yalishaisha
Na kunawale wanao omba wapewe tu Mimba..Unakuta hadi wake za watu macho 😍😧🙀 kwa mshangao mkaka ambaye nihandsome akipita.
Au akiwa mgahawani au mahala popote macho hushtuka na kutamani huyo mkaka hata kaka ni lofa .
WhyView attachment 1412936
Pole zao unaomba uwe single mother?Na kunawale wanao omba wapewe tu Mimba..
Basii mdogo wangu mzuri me nakupendaaaje??Na mimi ni pacha ake na Remmy 😊😊
kwaiyo huyo ulompost hapo ndo handsome mwenyewe?Unakuta hadi wake za watu macho [emoji7][emoji47][emoji79] kwa mshangao mkaka ambaye nihandsome akipita.
Au akiwa mgahawani au mahala popote macho hushtuka na kutamani huyo mkaka hata kaka ni lofa .
WhyView attachment 1412936
Handsome + hela + sex ,hapa patamu
Ila Mara nyingi huwa tunachukua mademu wa kawaida tu haswa weusi
Sent using Jamii Forums mobile app
Basii mdogo wangu mzuri me nakupendaaaje??
And you know this, ain't you.?