Ni kwanini mahandsome wanapendwa sana na wadada?

Ni kwanini mahandsome wanapendwa sana na wadada?

Ngoja nikatafute pesa kwanza nikizipata.
Nitarudi kuwaambia kwanini "Nasifiwa kwa mapenzi na mademu, Wanapagawa mpaka wananiita Handsome..."
 
Nyie ndio muko vizuri Swahiba hawajui tu. Sababu hivyo vijamaa sifa yao kuu ni kupasua kichwa.

Yaani mdada anaeza ishi kwa masononeko mpaka akatamani ampate huyo mwenye hiyo sura personal. Teh.
Afadhal hata ww umetupa.moyo kidogo kwa kwel waambien wakiumizwa waje tu tutawapa faraja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maswali mengine bwana, sijui niseme ya kitoto au kijinga?
 
Ukiwa handsome manake pesa ipo, kuvaa ni garama, kula vzuri ili kumaintain uhandsome ni garama, gym namaupuzi mengine vyote vitahitaji hela. Wanawake wanapenda mtu mwenye hela nasivinginevyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo la nyie wanaume wa kitanzania mnaleta kiherehere cha kuongelea kwa niaba ya wanawake, hella inapendwa yenyewe kama yenyewe, tunachotaka kujua ni wanawake wao wanape da nini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa lazima tuwe fair kidogo!

Kama ambavyo wanaume wanapenda wanawake wanye sura nzuri na makalio makubwa, ni vivyo hivyo wanawake wanapenda wanaume wazuri wenye mwonekano na maumbile ya kuwavutia!

Sisi wenye sura mbaya tunajifariji tu hapa na pesa. Bahati mbaya huenda hata hizo pesa hakuna!

Pesa huna, mwonekano mbovu! Ni tatizo!

Tofauti na hizo pesa za ndotoni, wanawake nao wanapenda wanaume wazuri!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom