Ni kwanini mahandsome wanapendwa sana na wadada?

Ni kwanini mahandsome wanapendwa sana na wadada?

Mtu anatakiwa kujipenda yeye mwenyewe kabla ya kumpenda mwengine. ikitokea wewe mwenyewe hujipendi na hujijali, vipi utaweza kumpenda na kumjali mtoto wa watu.

Wanawake wanajipenda kwa kujipamba na kuvaa vizuri, hivyo inavutia zaidi kwa mwanamke kupata mwanaume smart, handsome boy ambaye anajipenda na ku-shine. Anahisi wakikaa pamoja wana-match

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ase wanaume tufanye kaz pochi iwe nene. Hizi habari ni za kizamani sana enz hizo ujinga ni mwingi. Nowdays hawa watu wanaangalia pochi. Mtu anaenda kwao na six pack we unaenda na six million unaopoa mzigo afu unalipa six hundred unaamsha popo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Pochi nene

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utakuta kasichana kanaolewa na handsome ila kanachepuka na libaba lenye sura kama sura ya shetani wa kwenye muvi za kinaigeria.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila hata zaa nae Coz hataki kuharibu generation yake wanawake wako na mambo. Mwingine ana mme mbaya halafu anatafuta handsome wanazaa nae.
 
1. kutoka out kuwaringishia watu kwamba unatoka na handsome

2. Copy itakayotoka ikitokea amepata mimba anahisi mtoto atakuwa handsome kama baba yake.

3. Vile wanvyonukia na wanapenda harufu nzuri, tofauti na vile mtu kutojijali na hata kunuka jasho

4. Vile ma-handsome hawana mapenzi ya ki-hardcore, wanajua kubembeleza

5. Mvuto chumbani, kama mapenzi ya uzunguni pamoja na swagga za kuvutia macho na masikio ya warembo

Sent using Jamii Forums mobile app
mzee unaweza ukawa handsome n still ukawa hardcore
 
Ase wanaume tufanye kaz pochi iwe nene. Hizi habari ni za kizamani sana enz hizo ujinga ni mwingi. Nowdays hawa watu wanaangalia pochi. Mtu anaenda kwao na six pack we unaenda na six million unaopoa mzigo afu unalipa six hundred unaamsha popo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Pochi nene

Sent using Jamii Forums mobile app
halafu huyo mwanamke akishaolewa anakuja kuchepuka na yule jamaa mwenye six packs
 
Back
Top Bottom