Ni kwanini mahandsome wanapendwa sana na wadada?

Ni kwanini mahandsome wanapendwa sana na wadada?

MysweetL

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2020
Posts
314
Reaction score
340
Unakuta hadi wake za watu macho 😍😧🙀 kwa mshangao mkaka ambaye nihandsome akipita.
Au akiwa mgahawani au mahala popote macho hushtuka na kutamani huyo mkaka hata kaka ni lofa .
Why
69ed6b56dff82774c4fae76e8c532dd1.jpg
 
U handsome bila hela sikuhizi ni sawa na kunywa chai bila sukari hata nyuki hatui.. utafubaaa cheo kitashuka toka kwenye u handsome mpk utasikie wanakusema "yule kaka kakaa kama insyuka"😂😂

Mkuu tutafute hela mengine tutayakuta huko mbela ya hela.
 
Utakuta kasichana kanaolewa na handsome ila kanachepuka na libaba lenye sura kama sura ya shetani wa kwenye muvi za kinaigeria.
U handsome bila hela sikuhizi ni sawa na kunywa chai bila sukari hata nyuki hatui.. utafubaaa cheo kitashuka toka kwenye u handsome mpk utasikie wanakusema "yule kaka kakaa kama insyuka"[emoji23][emoji23]

Mkuu tutafute hela mengine tutayakuta huko mbela ya hela.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom