tzkwanza
JF-Expert Member
- Dec 27, 2018
- 1,568
- 3,604
Kweli mkuu!Ndugu yaani Jamaa huyo aliposema kuwa eti huwezi kuwa mwana Usalama wa Taifa kama siyo COMMANDO nikajua Wajinga hawajaisha nchini.
Kweli mkuu!Ndugu yaani Jamaa huyo aliposema kuwa eti huwezi kuwa mwana Usalama wa Taifa kama siyo COMMANDO nikajua Wajinga hawajaisha nchini.
Namaanisha kwamba COMMANDO wa Jeshi, anaweza kupewa Oder Na anaweza kutumiwa na kazi za Usalama wa Taifa Katika kufanikisha Jambo lao isipo kuwa yeye sio Kwenye Kitengo chao na akafanya kazi yao Pasipo kujua. Maana hiyo ni taasisi kubwa. M 16 wa Uingereza
COMMANDO ndio Special Force katika Jeshi ,ndio maana wanamafunzo Magumu ya Kivita.Kwahiyo ulichokiandika hapa ndiyo unataka Kunishawishi kuwa ukisema COMMANDO na SPECIAL FORCE ni Idara Mbili tofauti kabisa Jeshini au?
FFU hafanani 100% na trafic. Unatudanganya mkuu. The same kwa commando na usalama wa taifa. Komando ni mpiganaji wa vita katika nyanja zote lakini afisa usalama si mpiganaji hasa, ni mkusanyaji wa taarifa zaidi na kuzipelekea mamlaka husika zichukue hatua.Huyo ni mtu mmoja, huwezi kuwa afisa usalama kama sio komando, kwaiyo unazungumzia mtu mmoja katika kazi tofauti kama ffu na traffic police
Nimesikia mahala kuwa COMMANDO (si lazima awe wa Tanzania) ana uwezo wa kupata taarifa nyeti hata kuliko Mwana Usalama Taifa mwenyewe. Kwa mfano; COMMANDO wa Malawi anaweza akaenda nchini Zimbabwe katika maeneo yao muhimu na akapata akitakacho na wala asishtukiwe, lakini kwa Usalama wa Taifa wa Malawi anaweza kwenda ila atagundulika kwa haraka sana tu.
Wajuvi wa haya Masuala mliojazana hapa Jamvini JamiiForums, karibuni mtuelimishe na sisi akina Mzukulu ili nasi tuwe na Maarifa kama nyie pia.
Hakuna afisa usalama alie juu ya komando. Huu ni uwongo wa mchana.COMMANDO ndio Special Force katika Jeshi ,ndio maana wanamafunzo Magumu ya Kivita.
Hivyo hata Kitengo cha Usalama wanawatu zaidi ya COMMANDO katika mbinu za Kimedani hivyo wanao weza fanya kazi za Kijasusi. Naomba niishie hapa. Maana Usalama ni Taasisi hipo kila mahali ni zaidi ya Jeshi katika kupata Taarifa, Ndio maana watu wa Usalama wana wekeza kwenye watu wenye High IQ and High Technology katika kufanikisha mambo yao
Uliemkanusha anajua zaidi yako.... Yan kuisambaratisha ngome ya makomando 1000 inahitaji afisa usalama mmoja tu aliendaliwa kwa kazi husika..... Na inahitaji maafisa 10 wa kitengo kujua taarifa za kambi zote za makomando nchini tena wakiwa wamekaa mezani tu. Hutaki AchaHakuna afisa usalama alie juu ya komando. Huu ni uwongo wa mchana.
Kinachotokea ni kuwa kuna baadhi ya makomando hupangiwa kazi za usalama wa taifa kwa lengo maalum hasa pale afisa usalama anapotakiwa kufanya kazi zote mbili kwa wakati mmoja hasa ujasusi.
CCM ndio inaongoza dola na vyombo vyote vya ulinzi ikiwemo hao usalama wa taifa/makomando,na Ina wajinga!!! Je hiyo Sacco's ya chadema isio ongoza chochote na wanajiita makamanda, wasio ongoza hata jeshi la mgambo huoni wamepitiliza ujinga? Mfano wewe kumuita mwana Sacco's kamanda Ni zaidi ya unyumbuccm ina wajinga wengi kupita kiasi
yani wabongo bana!!
Kuna mtu umemlenga directMkuu hii comment imenifanya nicheke sana. Maana kuna dogo hapa anapenda kuvaa jezi za Yanga anasemaga yeye ni usalama wa taifa! Kwa hiyo atakuwa ni commando!?
Ndio wewe kwani ulikuwa hujuiDuh....hii ya Leo nayo Kali. Ndugu kumbe hawa Maofisa Usalama wa Taifa wote mfano kutoka TISS ni Makomandoo kwa mujibu wa ulichokisema?
Sasa kwanini hukumuuliza huyo au ulikuwa bado hujasikia ulichosema hapaNami zamani nilikuwa naamini hivi hivi kama Wewe ila baada ya Kukutana na Mmoja Wao na Kunielimisha vyema hiyo Dhana imeshanitoka rasmi.
Ila watu bwanaMkuu hujafafanua vizuri unamzungumzia komando yupi, maana kuna KOMANDO Ledi Jei Dii, KOMANDO Hamza kalala na KOMANDO Kipensi
Alafu unaweza kuta ni mchoma chipsi tu au dereva bodabodaSema chief una dharau sana
Mmmhh! Sio kweliHuyo ni mtu mmoja, huwezi kuwa afisa usalama kama sio komando, kwaiyo unazungumzia mtu mmoja katika kazi tofauti kama ffu na traffic police
Muongo huyo.Duh....hii ya Leo nayo Kali. Ndugu kumbe hawa Maofisa Usalama wa Taifa wote mfano kutoka TISS ni Makomandoo kwa mujibu wa ulichokisema?