Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 20,685
- 71,555
Walevi wana visa sana 😆Nikimkumbuka naishia kucheka
Sasa alikua anakaa floor ya juu huko, siku anajua kuna jirani kamkera ni ataenda kumnywea then anarudi usiku kukiwa kumetulia ni ataanza kutukana kwanzia chini mpaka afike kwake kwa mwendo wa kilevi muhusika kashashiba maneno yote
Hapo kashindwa kabisa kumfuata muhusika akiwa mzima