Ni kitu gani wanaume hufuata kwa wanawake?

Kuna njia tofauti watu huoa au kuolewa, wengine wanafumaniwa hivyo wanaoa bila hiari yao. Wengine wanakutana BAR ba kutiana mimba na kuamua kuoana, wengine wanakutana chuoni na kuoana, wengine wanaoa bila kuonja na wengine huvutiwa baada ya kuonja, wengine kimo wengine maumbile, wengine huangalia tabia wengine hawaangalii tabia.
 
Nilijua umeuliza swali unataka ujibiwe... kutokana na kichwa cha uzi.

Hata hivyo jibu nililoliandaa kichwani kabla ya kufungua uzi ni

Wanaume wanafata manyonyo kwa wanawake.

MK hata shoga anao.
Hii comment ni wee bibi umetoa au cm yake imeibwa?
 
Wanaume huwafuata Wanawake kwa mambo mawili, ambayo ni MAPENZI na SEX. Lakini inapofika hatua ya Kuoa, Wanaume hawaoi kwa sababu ya SEX au MAPENZI, wanaoa kwa sababu ya kutafuta AMANI NA UTULIVU WA NAFSI (STABILITY).


Ongezea na Chura/ mkia
 
Nilijua umeuliza swali unataka ujibiwe... kutokana na kichwa cha uzi.

Hata hivyo jibu nililoliandaa kichwani kabla ya kufungua uzi ni

Wanaume wanafata manyonyo kwa wanawake.

MK hata shoga anao.
Si kweli, wanaume hatufuati chakula cha mtoto (manyonyo) hii ni kwa ajili ya wazungu ila sie waafrika tunafuata guu la maana (chupa ya beer) na makalio then tabia na sura baadaye.
 
Back
Top Bottom