Ni kitu gani wanaume hufuata kwa wanawake?

Ni kitu gani wanaume hufuata kwa wanawake?

tunafata kubana matumizi.
unapokuwa na wanawake wengi wapya kila siku matumizi yanazidi,


unapokuwa na mmoja ukaona kidogo hana wenge kuna akili huja...

maisha ya sasa hivi kila kitu ni budget sababu wenzangu wote mnaelewa the MORE U SPEND THE MORE UR GETTING DOWN TO UR FEET..

Altenative way ni kubaki sehemu ambayo u spend less u getb more..
hiyo sehemu ni wapi??!!
ni kwa huyo demu uliemuona anaweza adapt na maisha yako!!

sio utelezi km wengi wanavyohisi!
wengi huwa wanapata PERFECT MATCH ndio wanaamua kutulia hadi pale ukichoka moja unaenda kwenye 2
 
Kuna wale vichwa vibovu wakilewa wanalala popote [emoji23]
Ha haa yani kuna baba mtu mzima alikua hapa jirani ye alikua analewa mpaka analetwa na toroli siku nyingine kalewa chakari huku kajikojolea ila hakosei kuwaelekeza njia ya home[emoji28]
 
Ha haa yani kuna baba mtu mzima alikua hapa jirani ye alikua analewa mpaka analetwa na toroli siku nyingine kalewa chakari huku kajikojolea ila hakosei kuwaelekeza njia ya home[emoji28]
Huyo mlevi mzoefu 😅
 
Huyo mlevi mzoefu [emoji28]
Nikimkumbuka naishia kucheka

Sasa alikua anakaa floor ya juu huko, siku anajua kuna jirani kamkera ni ataenda kumnywea then anarudi usiku kukiwa kumetulia ni ataanza kutukana kwanzia chini mpaka afike kwake kwa mwendo wa kilevi muhusika kashashiba maneno yote
 
Nilijua umeuliza swali unataka ujibiwe... kutokana na kichwa cha uzi.

Hata hivyo jibu nililoliandaa kichwani kabla ya kufungua uzi ni

Wanaume wanafata manyonyo kwa wanawake.

MK hata shoga anao.
Hivi we unajua lakini kinacho nikuta pindi nikiona comments zako we bibi?!!
Mi roho inauma sana ni kwanini nimechelewa kuzaliwa hadi nimeikosa hii fursa ila mungu anakuona !!
 
Hebu muache Hazard CFC wangu ana akili za kutosha

Halafu unajua kichwa kinachoweza kuhimili bia zaidi ya nane na kikakumbuka njia ya home ni kipimo tosha cha akili 😂
Aisee babe kulwa nilikumiss embu uje leo basi.😀


Wanywaji wachache sana wanaweza sahau nyumbani.😀
 
Mie hatutawezana [emoji23][emoji23]

Jina la doctor hilo watu wanaweza kuamini ujue
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] acha hizo doc bila kujaribu siwezi kukubalii kama tumeshindwana[emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom