Ni kitu gani wanaume hufuata kwa wanawake?

Nikimkumbuka naishia kucheka

Sasa alikua anakaa floor ya juu huko, siku anajua kuna jirani kamkera ni ataenda kumnywea then anarudi usiku kukiwa kumetulia ni ataanza kutukana kwanzia chini mpaka afike kwake kwa mwendo wa kilevi muhusika kashashiba maneno yote
Walevi wana visa sana 😆

Hapo kashindwa kabisa kumfuata muhusika akiwa mzima
 
Aisee babe kulwa nilikumiss embu uje leo basi.😀


Wanywaji wachache sana wanaweza sahau nyumbani.😀

Wale wanaolala njiani si ndio huwa wanajua wamefika nyumbani?😅

Nije muda gani?
 
Wanaume huwafuata Wanawake kwa mambo mawili, ambayo ni MAPENZI na SEX. Lakini inapofika hatua ya Kuoa, Wanaume hawaoi kwa sababu ya SEX au MAPENZI, wanaoa kwa sababu ya kutafuta AMANI NA UTULIVU WA NAFSI (STABILITY).

Mwanaume anaweza kukupenda na asikuoe. Mwanaume anaweza kuwa anafanya mapenzi na wewe tena mkadumu kwa muda mrefu lakini asikuoe. Lakini akampata mtu mwingine akamuoa hata kama mahusiano yake na mtu huyo yalikuwa ya miezi miwili.

Wanaume wengi hutizama mbali zaidi pale wanapotaka KUOA. Huwa hawafikirii habari za suti kali za harusi na sherehe ya gharama, vitu ambavyo hufikiriwa zaidi na wanawake kila wanapoiwaza ndoa.

Wanaume huwaza, iwapo mwanamke huyu anaweza kuijenga familia bora, anaweza kuwahudumia watoto? Hatanipa stress huko mbeleni, hatanisumbua katika masuala ya tendo la ndoa?

Wanaume wanaotaka kuoa huwa hawapendi wanawake wanaowapa mawazo, ndio maana wengine hukaa muda mrefu kwenye mahusiano lakini unajifikiria bila sababu ya msingi anakuja kuoa mtu amekaa nae kwa miezi miwili.

Ni ile utafutaji wa AMANI YA NAFSI.

Sex is a pleasure, love is an affection, RESPECT is Stability.

True
 
Nilijua umeuliza swali unataka ujibiwe... kutokana na kichwa cha uzi.

Hata hivyo jibu nililoliandaa kichwani kabla ya kufungua uzi ni

Wanaume wanafata manyonyo kwa wanawake.

MK hata shoga anao.
Hiv huu uzi umeandikiwa?
 
Wale wanaolala njiani si ndio huwa wanajua wamefika nyumbani?😅

Nije muda gani?
Hapana doctor Joanah wale wanakuwa wanapumzika kwa muda then waendelee na safari.😂

Uje saa tano babe kulwa.
 
Hivi we unajua lakini kinacho nikuta pindi nikiona comments zako we bibi?!!
Mi roho inauma sana ni kwanini nimechelewa kuzaliwa hadi nimeikosa hii fursa ila mungu anakuona !!

Aahahahahahahahaaaa Damas.....😘😘😘

Mabusu kedekede kwako yakupe jotojoto kupunguza kipupwe kilichotanda kanda za juu/chini; kusini/magharibi; mashariki/kaskazini.

Nakuona ujue.. 😅.
 
Wanaume wanaotaka kuoa huwa hawapendi wanawake wanaowapa mawazo, ndio maana wengine hukaa muda mrefu kwenye mahusiano lakini unajifikiria bila sababu ya msingi anakuja kuoa mtu amekaa nae kwa miezi miwili.
Mwanaume anayekupenda na wafuture na wewe atakupenda na kukujali na kukuona special ila haya mapita njia yanachukua hii kauli ya mtu mwenye future hatokudhamini nakukusaidia ili akupime huo niuongo
 
Aahahahahahahahaaaa Damas.....😘😘😘

Mabusu kedekede kwako yakupe jotojoto kupunguza kipupwe kilichotanda kanda za juu/chini; kusini/magharibi; mashariki/kaskazini.

Nakuona ujue.. 😅.
Doh umeona sasa mambo Moto Moto kama hayo nitayapata we tena kama sio kwako tu!!

I see you.😂.
 
Changamoto inakuja kuna wanawake mpaka ukishamuoa ndo anaanza kukuletea stress. Hapo mwanzo mtaishi kwa amani na hata ukimkera anakubali samahani yako
 
Niko mgonjwa...

Sina hamu ya kula kitu chochote zaidi ya uji wa moto....😅.

Vile u’mtaalam wa kukoroga uji.....😋.
Chinekee... sasa naanza rasmi kukusongea ugali. Liwalo na liwe
 
Kaka unadhani ni kitu gani watu huwa wanafuata kwenyeIST, Mwanamke lazma awe na tabia ya kueleweka
 
27 Reactions
Reply
Back
Top Bottom