Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 20,345
- 50,320
Eti nini?Hajitambui huyo,Chura ndio kila kitu. Unaweza kuendesha gari lisilo na injini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti nini?Hajitambui huyo,Chura ndio kila kitu. Unaweza kuendesha gari lisilo na injini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kigezo cha chura kimetolewa, oooh Asante Mungu akili imeanza kuwarudia sasa
Hii comment ni wee bibi umetoa au cm yake imeibwa?Nilijua umeuliza swali unataka ujibiwe... kutokana na kichwa cha uzi.
Hata hivyo jibu nililoliandaa kichwani kabla ya kufungua uzi ni
Wanaume wanafata manyonyo kwa wanawake.
MK hata shoga anao.
Ongezea na Chura/ mkiaWanaume huwafuata Wanawake kwa mambo mawili, ambayo ni MAPENZI na SEX. Lakini inapofika hatua ya Kuoa, Wanaume hawaoi kwa sababu ya SEX au MAPENZI, wanaoa kwa sababu ya kutafuta AMANI NA UTULIVU WA NAFSI (STABILITY).
AiseeNilijua umeuliza swali unataka ujibiwe... kutokana na kichwa cha uzi.
Hata hivyo jibu nililoliandaa kichwani kabla ya kufungua uzi ni
Wanaume wanafata manyonyo kwa wanawake.
MK hata shoga anao.
Chura huna nini bidada?Kigezo cha chura kimetolewa, oooh Asante Mungu akili imeanza kuwarudia sasa
HahahahahaKigezo cha chura kimetolewa, oooh Asante Mungu akili imeanza kuwarudia sasa
Si kweli, wanaume hatufuati chakula cha mtoto (manyonyo) hii ni kwa ajili ya wazungu ila sie waafrika tunafuata guu la maana (chupa ya beer) na makalio then tabia na sura baadaye.Nilijua umeuliza swali unataka ujibiwe... kutokana na kichwa cha uzi.
Hata hivyo jibu nililoliandaa kichwani kabla ya kufungua uzi ni
Wanaume wanafata manyonyo kwa wanawake.
MK hata shoga anao.