Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,261
- 98,288
Nawote walio mzushia na kumtukana na kutoa maneno ya kumkejeli sasa wao ndio wapo msambweniMkuu....Hukutoa Hoja na busara hizi wakati mnajadili afya ya Lowasa...wengine mkamchafua mzee wa watu kuwa anajinyea...lakini kwa hekima kubwa alinyamaza...Na Mungu lazima tu atambariki Laigwan...