Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 11,553
- 14,326
Huyo muulize ni vitu gani vinatambulisha picha kuwa ni photoshop kama ataweza kukwambiaTangu ujue kuna photoshop kila kitu photoshop!
Huyo muulize ni vitu gani vinatambulisha picha kuwa ni photoshop kama ataweza kukwambiaTangu ujue kuna photoshop kila kitu photoshop!
Tanzania kuna mahakama ya mafisadi? Mmeona ndio fimbo yenu kuitumia eti "kama fisadi mbona hapelekwi mahakamani" haya umesema Kikwete ndio mkubwa wa Mafisadi mbona hamjamfungulia kesi sasa?Hakutakiwa kupambanishwa kwa ku attack afya yake....Mwenye kujalia afya na uhai ni mwenyezi Mungu...na Mungu huwa hadhihakiwi.....Mlimdhihaki sana yule Mzee ...cha ajabu Mungu anazidi kumbariki anazidi kupendeza tu siku hizi.
Huyo amekaa ikulu na ameiibia nchi vya kutosha ....na ni fisadi na kubwa la mafisadi na mfadhili wa mafisadi...lazima tumuandame vizuri tu hadi last point.
Teacher..Lowas is super happy....Kwa taarifa yako Lowasa hatagombea 2020....he is happy kuwa na Amani na haishi na wanafiki kwa sasa...about ufisadi wake....Hizo ni porojo zenu tu....Kukupa tu clue..kwa nchi za afrika kama una doa la wizi au ufisadi huwezi kuthubutu kuhamia upinzani...coz the moment you do that its your end...hadi leo mmeshindwa kumpeleka "Fisadi Lowasa" mahakamani
Eti aachwe...sisi hatuwezi kumfanya kitu tunamwachia Mungu amkongoroe hadi akome...hadi awe skeleton...Mungu hadhihakiwi bana.
Tanzania kuna mahakama ya mafisadi? Mmeona ndio fimbo yenu kuitumia eti "kama fisadi mbona hapelekwi mahakamani" haya umesema Kikwete ndio mkubwa wa Mafisadi mbona hamjamfungulia kesi sasa?
Wakubwa zako walituambia kua Lowasa ni fisadi tena fisadi Nyangumi, hilo tumelizingatia wananchi na haliwezi kufutika vichwani mwetu ndio mana 2015 tulimchinjia baharini,
Teh teh ameshajijua eeh kua 2020 hapati pia kura, basi aendelee kutulia hivyo hivyo kwa kua Tz hatutaki mafisadi.
Mungu wa Kikwete ndio Mungu wako pia, utakongoroka wewe mpk ubaki kichwa tu na Kikwete ataendelea kudunda
Tafuteni hoja za maana kama mmeshindwa unganeni na anko Magu katika kuijenga Tz ya viwanda.
Acheni siasa za majitaka.
Mkuu hii picha imepigwa ukungu ipo original yake hujaiona?Ushabiki wa dizain yako haufai, hiyo picha ni kweli na imepigwa Zambia na kuna video zake, au nazo zimetengenezwa?
What? CDM kupigania kesi za Ufisadi zipelekwe Mahakamani??? Hayo yangewezekana mkiwa na DR Slaa. Kwa sasa utapeli wenu umebainika. Hatudanganyiki tena!Jifunze na kuelewa sharia ya Tanzania ...sio una comment tu hata huelewi?
Mwenye mamlaka ya kushitaki kwenye kesi za jinai ni jamhuri....nikisema jamhuri nadhani unaelewa....sasa kama hujui ..sijui wanafunzi unawafundisha nini?
CHADEMA tutaendelea kuibana Jamhuri ipeleke mahakamani kesi zote za wizi mkubwa mahakamani..ikiwemo RICHMOND,KAGODA,DEEP GREEN,MEREMETA,ESROW,IPTL,NYUMBA ZA SERIKALI,LUGUMI,MV DAR ES SALAAM na zingine....Serikali ya CCM itekeleze wajibu wake kwa sababu tunailipa kodi zetu...tunataka kesi hizi zipelekwe mahakamani haraka iwezekanavyo.
Kumbe akili zako ni za kuambiwa...the...No wonder uko hivyo
Chama cha mapinduzi kama chama chenyewe kimeiba mali za umma...wanachama wake wote ni wezi wa kutupa na ushahidi uko wazi...mfano mdogo ni hawa vidagaa wao
View attachment 381982
Mungu wa kikwete sio Mungu wangu...Mungu wa kikwete ni Lucifer.....Mungu wangu ni yule Mungu anayemwabudu Kamanda Edward...na ndio maana mungu anazidi kumbariki
View attachment 381983
na anazidi kumlaani huyu mfuasi wa malaika mkuu aliyeasi...
View attachment 381984
Hadi pale mtakapotambua kuwa kipimo mnachowapimia wengine ndicho hichohicho mtakapopimiwa..tutaziacha hizo unazosema za majitaka
So far huyo Mungu wako magu naye ni majanga mengine...Nitajie kiwanda gani ameleta hadi sasa zaidi ya ngonjera...
Hujawahi kuona kuna vioo ukijiangalia unaona Mara umenenepa , au macho na masiko yako upande au makubwa?Ushabiki wa dizain yako haufai, hiyo picha ni kweli na imepigwa Zambia na kuna video zake, au nazo zimetengenezwa?
Ngoja tu nikuache maana naona unapanic halafu mimi huku nacheka,Jifunze na kuelewa sharia ya Tanzania ...sio una comment tu hata huelewi?
Mwenye mamlaka ya kushitaki kwenye kesi za jinai ni jamhuri....nikisema jamhuri nadhani unaelewa....sasa kama hujui ..sijui wanafunzi unawafundisha nini?
CHADEMA tutaendelea kuibana Jamhuri ipeleke mahakamani kesi zote za wizi mkubwa mahakamani..ikiwemo RICHMOND,KAGODA,DEEP GREEN,MEREMETA,ESROW,IPTL,NYUMBA ZA SERIKALI,LUGUMI,MV DAR ES SALAAM na zingine....Serikali ya CCM itekeleze wajibu wake kwa sababu tunailipa kodi zetu...tunataka kesi hizi zipelekwe mahakamani haraka iwezekanavyo.
Kumbe akili zako ni za kuambiwa...the...No wonder uko hivyo
Chama cha mapinduzi kama chama chenyewe kimeiba mali za umma...wanachama wake wote ni wezi wa kutupa na ushahidi uko wazi...mfano mdogo ni hawa vidagaa wao
View attachment 381982
Mungu wa kikwete sio Mungu wangu...Mungu wa kikwete ni Lucifer.....Mungu wangu ni yule Mungu anayemwabudu Kamanda Edward...na ndio maana mungu anazidi kumbariki
View attachment 381983
na anazidi kumlaani huyu mfuasi wa malaika mkuu aliyeasi...
View attachment 381984
Hadi pale mtakapotambua kuwa kipimo mnachowapimia wengine ndicho hichohicho mtakapopimiwa..tutaziacha hizo unazosema za majitaka
So far huyo Mungu wako magu naye ni majanga mengine...Nitajie kiwanda gani ameleta hadi sasa zaidi ya ngonjera...
Tena kale kajamaa kamejichumia laana. Kalikuwa kana tapika mneno machafu kana kwamba kenyewe ni jiwe. Mungu si Athumani kuna siku na kenyewe katashikwa ndipo katashangaa Lowassa anakwenda kukajulia hali. Ajuaye Bwana Mungu kwa mzima kuwa mfu na mgonjwa kuwa salama. Kuna siku katajua kuwa Mungu hapangiwi kazi. Na kenzake kanaitwa kakibajaji. Vilikuwa vinasema eti hatupeleki maiti ikulu. Lakini tumeshuhudia wengine wakifa na kumwacha Lowassa akidunda. Vimejichumia laana vile vijamaa! Wakati vyenyewe vikisema hivi aliyekuwepo pale alikuwa ametoka matibabuni kwa Obama. Huyo havikusema ni mgonjwa!Ukimya wa Lowasa utawaumbua wote. Ila matusi waliyoratibu nakuwatumia akina Nape kumtukana Rais Lowasa yalikuwa too much
#livelongJakaya#
Tena kale kajamaa kamejichumia laana. Kalikuwa kana tapika mneno machafu kana kwamba kenyewe ni jiwe. Mungu si Athumani kuna siku na kenyewe katashikwa ndipo katashangaa Lowassa anakwenda kukajulia hali. Ajuaye Bwana Mungu kwa mzima kuwa mfu na mgonjwa kuwa salama. Kuna siku katajua kuwa Mungu hapangiwi kazi. Na kenzake kanaitwa kakibajaji. Vilikuwa vinasema eti hatupeleki maiti ikulu. Lakini tumeshuhudia wengine wakifa na kumwacha Lowassa akidunda. Vimejichumia laana vile vijamaa! Wakati vyenyewe vikisema hivi aliyekuwepo pale alikuwa ametoka matibabuni kwa Obama. Huyo havikusema ni mgonjwa!
What? CDM kupigania kesi za Ufisadi zipelekwe Mahakamani??? Hayo yangewezekana mkiwa na DR Slaa. Kwa sasa utapeli wenu umebainika. Hatudanganyiki tena!
Is that all you get?View attachment 381987
Kudadeki na hapo bado....lazima skeleton mwaka huu
wezi wakubwa nyie...look at you ma CCM
View attachment 381988
Is that all you get?
Teh teh teh R.I.P CHADEMA.
Let's wait and watch.Hhaha...Never...U will die and CHADEMA will never die..It is the spirit of this nation
you cant see coz utakuwa/tutakuwa ushakufa wakati chadema itakuwa inaishiLet's wait and watch.
Labda wewe, ila me mpaka nakufa CHADEMA itakua ishasahaulika katika uso wa dunia, tena hata historia yake itakua imefutika,you cant see coz utakuwa/tutakuwa ushakufa wakati chadema itakuwa inaishi