Ni kitu gani kimemsibu Kikwete?

Ni kitu gani kimemsibu Kikwete?

Hakuna kitu kama hicho, juzi tu huyu alikuwa katika mkutano WA kumpitisha mheshimiwa yani kwa wiki 3 tu apukutike hivi. Acheni kuunda mambo haiwezekani sio mmemphotoshop hata wewe tupia picha yako nikukondesheeeee
 
What? CDM kupigania kesi za Ufisadi zipelekwe Mahakamani??? Hayo yangewezekana mkiwa na DR Slaa. Kwa sasa utapeli wenu umebainika. Hatudanganyiki tena!
Tangu mmeanza hizo sinema zenu nilini mmemkamata kiongozi yeyote wa cdm na kumpeleka mahakamani? Wacha kutumia masaburi
 
Sasa hutaki kuwa kikwete anakongoroka au? Au wewe ndiye mkewe?
Swali hilo tungewauliza nyie mnaokazana kua amedhoofika, maana nijuavyo udhoofu wa mwanaume aujuae mkewe,

Sasa mwanaume kukazana kua mwanaume mwenzie amedhoofika hapo ndio ninapopigwa na butwaaa.
 
Number one killer for old people is retirement....
Lowassa bado yuko poa sababu hajastaafu.

Mkuu sasa hawa viongozi wastaaafu ambao wanalipwa pensheni kubwa tu, na bado wanagharamiwa kila kitu na serikali unawaweka kwenye kundi moja na wastaafu wa kawaida?!
 
Ngoja tu nikuache maana naona unapanic halafu mimi huku nacheka,

Kiufupi ni kua CHADEMA sijui UKAWA sijui UKUTA kuja kuitawala Tanzania ni ndoto tena ya kusadikika.
Kwa kua nyie wenyewe mna mafisadi dagaa mpk nyangumi.

Mtaishia hivyo hivyo kusindikiza uchaguzi na kubwatuka kwenye majukwaa na kugomea mambo lakin ikulu mtakanyaga kwa mualiko wa rais.

Narudia tena, MUACHENI MZEE KIKWETE APUMZIKE yake yameshamuishia nyie ndio bado mnakihoro cha kwenda Ikulu sijui kuna biashara gani kule mwataka kuifanya.

#livelongJakaya#
Hizo nyimbo zako walianza wahenga tangu 1992 kuwa hakuna mtu wa kuwachagua wapinzani lkn sasa hivi wapinzani wana wabunge wengi tu bungeni na kadri siku zinavyokwenda ndiyo watanzania tunavyozidi kuichukia ccm na kujiunga na upinzani na hata mkiiba kura kuna siku mtashindwa kuiba tu
 
Ngoja tu nikuache maana naona unapanic halafu mimi huku nacheka,

Kiufupi ni kua CHADEMA sijui UKAWA sijui UKUTA kuja kuitawala Tanzania ni ndoto tena ya kusadikika.
Kwa kua nyie wenyewe mna mafisadi dagaa mpk nyangumi.

Mtaishia hivyo hivyo kusindikiza uchaguzi na kubwatuka kwenye majukwaa na kugomea mambo lakin ikulu mtakanyaga kwa mualiko wa rais.

Narudia tena, MUACHENI MZEE KIKWETE APUMZIKE yake yameshamuishia nyie ndio bado mnakihoro cha kwenda Ikulu sijui kuna biashara gani kule mwataka kuifanya.

#livelongJakaya#
Anakongoroka
 
Tena kale kajamaa kamejichumia laana. Kalikuwa kana tapika mneno machafu kana kwamba kenyewe ni jiwe. Mungu si Athumani kuna siku na kenyewe katashikwa ndipo katashangaa Lowassa anakwenda kukajulia hali. Ajuaye Bwana Mungu kwa mzima kuwa mfu na mgonjwa kuwa salama. Kuna siku katajua kuwa Mungu hapangiwi kazi. Na kenzake kanaitwa kakibajaji. Vilikuwa vinasema eti hatupeleki maiti ikulu. Lakini tumeshuhudia wengine wakifa na kumwacha Lowassa akidunda. Vimejichumia laana vile vijamaa! Wakati vyenyewe vikisema hivi aliyekuwepo pale alikuwa ametoka matibabuni kwa Obama. Huyo havikusema ni mgonjwa!
Mungu sasa anakahukumu hapa hapa duniani
 
Swali hilo tungewauliza nyie mnaokazana kua amedhoofika, maana nijuavyo udhoofu wa mwanaume aujuae mkewe,

Sasa mwanaume kukazana kua mwanaume mwenzie amedhoofika hapo ndio ninapopigwa na butwaaa.
Wewe tumia akili sisi tunamuangalia hapo kwenye hizo picha sasa wewe unakuja hekaya za lumumba yaani unabishana na mungu? Kakongoroka huyo
 
Kwanini msijadili mema ya Mhe Kikwete mnajadili afya yake. kwani wakati akiwa ikulu alishindwa nini katika majukumu yake kutokana na afya yake??? Ni vema tukawa na shukrani tukawa na tabia ya kuwaombea viongozi wetu kuliko kuwatabiria mabaya na laana wakati kisasi kina Mungu mwenyewe.
 
Wewe tumia akili sisi tunamuangalia hapo kwenye hizo picha sasa wewe unakuja hekaya za lumumba yaani unabishana na mungu? Kakongoroka huyo
Sometimes its very hard to argue with fool what heel are you discussing....
 
Wewe tumia akili sisi tunamuangalia hapo kwenye hizo picha sasa wewe unakuja hekaya za lumumba yaani unabishana na mungu? Kakongoroka huyo
Haya amekongoroka so what??? Ndio huyo fisadi wenu atapata urais???

Sahauuuuuuuuu
 
Kwanini msijadili mema ya Mhe Kikwete mnajadili afya yake. kwani wakati akiwa ikulu alishindwa nini katika majukumu yake kutokana na afya yake??? Ni vema tukawa na shukrani tukawa na tabia ya kuwaombea viongozi wetu kuliko kuwatabiria mabaya na laana wakati kisasi kina Mungu mwenyewe.

Mkuu....Hukutoa Hoja na busara hizi wakati mnajadili afya ya Lowasa...wengine mkamchafua mzee wa watu kuwa anajinyea...lakini kwa hekima kubwa alinyamaza...Na Mungu lazima tu atambariki Laigwan...
 
Back
Top Bottom