Deadbody
JF-Expert Member
- May 30, 2015
- 4,276
- 6,585
Mimi ni hiki "Think and Grow Rich"- By Napoleon Hill na How to influence people and win friends-DALE CARNEGIE
Ni vitabu ambavyo navikubali sana sana na haipiti mwezi lazima nivisome tena japo cha kwanza nilikimaliza mwaka 2016 na cha pili mwaka 2018.
Hivi ni vitabu ambavyo naweza fanyia mtihani na nikapata alama 100%.Navijua line kwa line,page kwa page,chapter kwa chapter na neno kwa neno.
Pamoja na kuvijua hivyo bado huwa navisoma mara kwa mara na sichoki kuvisoma
Kwangu ndio vitabu bora zaidi kuwahi kusoma
Karibuni