Ni kitabu gani huwa unakisoma mara kwa mara ?

Deadbody

JF-Expert Member
May 30, 2015
4,160
2,000
Mimi ni hiki "Think and Grow Rich"- By Napoleon Hill na How to influence people and win friends-DALE CARNEGIE

1552382540712.png

1552382638391.png

Ni vitabu ambavyo navikubali sana sana na haipiti mwezi lazima nivisome tena japo cha kwanza nilikimaliza mwaka 2016 na cha pili mwaka 2018.

Hivi ni vitabu ambavyo naweza fanyia mtihani na nikapata alama 100%.Navijua line kwa line,page kwa page,chapter kwa chapter na neno kwa neno.

Pamoja na kuvijua hivyo bado huwa navisoma mara kwa mara na sichoki kuvisoma

Kwangu ndio vitabu bora zaidi kuwahi kusoma

Karibuni
 
The Icebreaker

JF-Expert Member
Feb 11, 2018
6,617
2,000
Mimi ni hiki "Think and Grow Rich"- By Napoleon Hill na How to influence people and win friends-DALE CARNEGIE

View attachment 1043757

View attachment 1043762

Baada ya kukirudia sana hicho kitabu kwa kukisoma,na una sema kama ukifanyiwa mtihani unaweza ukapata alama 100% kuhusu hicho kitabu,
Je kimekubadilisha nini kwenye maisha yako? umefaidikaje kwa kusoma hicho kitabu? nadhani wengi wangetamani kujua hilo,
Nawasilisha.
 
Kama umeamua kuchagia uzi jibu swali lililoulizwa na sio kutaka kujua maisha ya mtu.Kama unataka kujua hayo uliyouliza anzisha uzi na uliza jinsi maisha ya watu yalivyobadilika kwa kusoma vitabu.Watakujibu.Hapa sio mahala pake
 
The Icebreaker

JF-Expert Member
Feb 11, 2018
6,617
2,000
Kama umeamua kuchagia uzi jibu swali lililoulizwa na sio kutaka kujua maisha ya mtu.Kama unataka kujua hayo uliyouliza anzisha uzi na uliza jinsi maisha ya watu yalivyobadilika kwa kusoma vitabu.Watakujibu.Hapa sio mahala pake
Kama huna uwezo wa kujibu mada uliyoianzisha wewe mwenyewe basi siku nyingine jaribu kuheshimu wachangiaji,sina haja wala sijakuuliza maisha yako,soma uelewe kuliko kukurupuka hovyo kama chafya,siku nyingine haya matapishi bora uwe unawaandikia wakwenu huko ili mjadili nyumbani kwenu,jf ni an open forums,usilete ujinga hapa wa kujibu hovyo watu.
 
Deadbody

JF-Expert Member
May 30, 2015
4,160
2,000
Kama huna uwezo wa kujibu mada uliyoianzisha wewe mwenyewe basi siku nyingine jaribu kuheshimu wachangiaji,sina haja wala sijakuuliza maisha yako,soma uelewe kuliko kukurupuka hovyo kama chafya,siku nyingine haya matapishi bora uwe unawaandikia wakwenu huko ili mjadili nyumbani kwenu,jf ni an open forums,usilete ujinga hapa wa kujibu hovyo watu.
Baki na swali lako la kipuuzi.Ungeuliza kwenye mada ningekujibu ila umetoka kwenye mada.Hili sikujibu hapa labda uanzishe thread yako then nitajibu.Kama unahitaji majibu nje ya uzi huu njoo Privately
 
Malcolm X5

JF-Expert Member
Jun 3, 2013
1,391
2,000
Upon his release he changed his name to Malcolm X, the Xrepresenting the unknown name of his African ancestors and their culture that had been lost during slavery. After personal meetings with Elijah Muhammad, Malcolm became a minister for the Nation
 
Attachments

  • x.jpg
    File size
    36.3 KB
    Views
    39

mkorea

JF-Expert Member
Aug 16, 2016
2,848
2,000
Mimi ni hiki "Think and Grow Rich"- By Napoleon Hill na How to influence people and win friends-DALE CARNEGIE

View attachment 1043757

View attachment 1043762

Ni vitabu ambavyo navikubali sana sana na haipiti mwezi lazima nivisome tena japo cha kwanza nilikimaliza mwaka 2016 na cha pili mwaka 2018.

Hivi ni vitabu ambavyo naweza fanyia mtihani na nikapata alama 100%.Navijua line kwa line,page kwa page,chapter kwa chapter na neno kwa neno.

Pamoja na kuvijua hivyo bado huwa navisoma mara kwa mara na sichoki kuvisoma

Kwangu ndio vitabu bora zaidi kuwahi kusoma

Karibuni
The best book ever

Sent using Jamii Forums mobile app
 
buffalo44

JF-Expert Member
May 8, 2016
1,751
2,000
The greatest salesman man in the world.
Baadhi ya nukuu kutoka hiki kitabu.

“Weak is he who permits his thoughts to control his actions; strong is he who forces his actions to control his thoughts. ” ― Og Mandino

“Never feel shame for trying and failing, for he who never failed is he who never tried.” ― Og Mandino

“Wealth should never be your goal in life. Your words are eloquent but they are mere words. True wealth is of the heart, not of the purse.” ― Og Mandino

“Today will never happen again. Don't waste it with a false start or no start at all.”
 
The Icebreaker

JF-Expert Member
Feb 11, 2018
6,617
2,000
Baki na swali lako la kipuuzi.Ungeuliza kwenye mada ningekujibu ila umetoka kwenye mada.Hili sikujibu hapa labda uanzishe thread yako then nitajibu.Kama unahitaji majibu nje ya uzi huu njoo Privately
Hakuna swali la kipuuzi duniani bali hua kuna jibu la kipuuzi,jitafakari acha kuendelea kujiaibisha hapa,inaonekana uwezo wako wa kuchanganua mambo ni mdogo sana,sina haja ya kuja pm,nije ili iweje? unakimbilia kuanzisha thd wakati huna uwezo wa kuiendesha!
 
Deadbody

JF-Expert Member
May 30, 2015
4,160
2,000
Hakuna swali la kipuuzi duniani bali hua kuna jibu la kipuuzi,jitafakari acha kuendelea kujiaibisha hapa,inaonekana uwezo wako wa kuchanganua mambo ni mdogo sana,sina haja ya kuja pm,nije ili iweje? unakimbilia kuanzisha thd wakati huna uwezo wa kuiendesha!
Sina haja ya kubishana na wewe.Na hii ni reply ya mwisho kukujibu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom