Mtu wa Pwani
JF-Expert Member
- Dec 26, 2006
- 4,192
- 678
We we Mtu wa pwani huna akili tatizo lako kukaa kijiweni na kunywa chai tu bila kufanya kazi...AKILI ZAKO KAMA ZA MTOTO!
leteni hoja kwa nn kisifutwe chama ambacho baada ya kusaidiana na wanachi kuleta maendeleo kinaleta mifarakano
ni kiasi gani cha hasara kilichosababishwa na chadema tokea jana?
ikiwemo nguvu kazi(watu), utalii(nnaamini wazungu wengi au watalii wanaondoka Arusha)
uharibifu wa thamani za serikali na wananchi wa kawaida
kusimama kwa biashara na kupelekea wizi na mauaji
haya yote yanainyima uhalali chadema kubaki kuwa chama cha siasa
kifutwe