Ni bora CHADEMA ifutwe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni bora CHADEMA ifutwe

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwiba, Dec 27, 2010.

 1. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #1
  Dec 27, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Ikiwa Chadema imeshindwa na ustaarabu bora Msajili akifute Chama hiki,chama ambacho kinashindwa kujidhibiti na kuwezaa kufuata mkondo wa kisiasa,kwa nini hawaiangalii CUF wapi imetoka na wapi ipo ,hii leo !!

  Mimi nawashauri Chadema wasitishe kuingia kwenye Bunge mara moja,nawahakikishia serikali itabadili muelekeo ,ni lazima itabadili muelekeo na vile vile lile lengo la kutomtambua Kikwete kama Raisi halali au alieshinda kihalali, hapo hapana ubishi ni lazima CCM na serikali yake ikae sawa na ni njia moja ya kidemokrasia kabisa.

  Lakini kuwarubuni wananchi wakati mnaingia bungeni na kula na kusaza ,hili halikubaliki kabisa kisha kutaka kuwaburuza wananchi kwenda kuchezea maji ya washawasha ,nyie wabunge mnakuwa tandize na majokofu ya jumba la bunge,huo utakuwa utapeli kushinda wa mafisadi,amueni moja tuwafahamu.
   
 2. mwana wa mtu

  mwana wa mtu JF-Expert Member

  #2
  Dec 27, 2010
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 220
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mbona hoja yako haielewki..ni kama umetoka usingizini tu ukakurupuka na kuandika chochote kijacho akilini mwako!..ndo unasoma somo la Uraia darasa gani kwa sasa?!
   
 3. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #3
  Dec 27, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  chadema wanafuata nyayo za kafu kwa makini sana... mlimwaga damu enzi za mkapa, basi ndio zoezi linaloendelea.... mlishakua chama kikuu cha upinzani, chadema tayari, basi taratiibu watapita mliyofanya kwani wao si wasaliti wala maamuma
   
 4. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #4
  Dec 27, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Inategemea ulivyoelewa tu,ila kila kitu kipo wazi kabisa,kama utaangalia ni namna gani msimamo wa Chadema ulivyo hivi sasa,Chadema wanataka kufanya mambo kinguvunguvu,Chadema wanataka kulazimisha WaTz wakubaliane na matakwa yao au vile waonavyo wao ndio jamii nzima ikubaliane nao na hata serikali iwe inafuata mrengo au matakwa yao ,yaani wanataka kila walitakalo wao lifuatwe na wananchi pamoja na serikali kama halikufuatwa au hawakuruhusiwa basi watumie wananchi kulazimisha ,hii ni jeuri na ni kushindwa kufanya siasa,kwa maana hiyo kama wameshindwa na siasa ni bora wabwage manyanga na sio kutaka kujinyakulia amri kutoka mikononi mwao na kuwatumia watu.

  Sisitizo ambalo limekuchanganya ni pale nilipotoa rai kuwa ,wawe wenye kusimamia misimamo yao kisiasa kama waalivyotoka bungeni,nijuavyo walitakiwa wasirudi hadi kieleweke ,hilo halikufanyika,kutomtambua Raisi nalo hilo lingendelea mpaka ikawa kero ndani na nje ya nchi nalo mpaka ieleweke au kieleweke ,lakini wapi hakuna hata moja walilolisimamia kwa umoja na kuliendeleza ,sasa hili la tutafanya ikiwa hatukupewa kibali huoni kama ni kusababsha matatizo,hawaeleweki !! Mambo mengine hayahitaji mpaka mueleweshwe ukitizama tu utaona kuwa Chadema wamepoteza muelekeo na wanakoelekea ni fujo na vurugu ,ndio nikasema bora kifungwe.
   
 5. mwana wa mtu

  mwana wa mtu JF-Expert Member

  #5
  Dec 27, 2010
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 220
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Watu wachache wanapotoka na kutoa kauli zao, si tamko la Chama, ninavyofatilia mpaka sasa matamko yaliyotolewa na Chama hayajabadilika (labda kama unahusisha matamko kama ya Zitto Kabwe kujipendekeza kwa mkuu wa kaya aliye rafiki yake, ndo tamko la Chama unakosea)..pamoja na hayo kama kuna kutofautiana ndani ya Chama,ndio ukomavu kidemokrasia..otherwise, mimi nawaona bado wako imara..going through what they are experiencing now will mark their stability as a party!
   
 6. eliesikia

  eliesikia JF-Expert Member

  #6
  Dec 27, 2010
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 423
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  Umesahau wana watu zaidi ya mil 2.2(jumlisha uchakachuaji??)?? Hahaha unataka nchi ifumuke nini?? Maana sasa ndio tutajua kuhesabu wafuasi kwa kutumia kidole tuu.. Kila nyumba itaulizwa jumlisha kituo cha oysterbay(ambacho Slaa alipata kura 58 na JK 54)... Watu walijua pale ndo wasaliti kumbe weee nchi nzima hahawawataki CCM... Mkwere kapata pwani tuu na Unguja kwishnei.....

  Ulitaka msimamo wa aina gani?? kama Ivory coast au?? Mi hata sikuelewi maana hujui tume ilifanya nini siku ile?? CHADEMA walipewa mill 66 kila mwezi kuanzia 2005/10 lakini wamepanda wafuasi kutoka 6% to 26%.. Hao CUF unaosema walikuwa wakipata mill 99 lakini uliza walitoka wapi kwenda wapi kama sio 11% to 8% ooh shame on Lipumba bora arudi Stanford atufundishe uchumi tuu siasa kipaji sio bahati!!!

  Wao(CUF) walikubali mshindi huku wakidai tume sio huru...nafuu CHADEMA wanajua wanachokifanya .. wametoka bungeni na hisia za katiba mpya na tume huru zikaingia... Lakini CUF wamedandia mada kama wanaharakati uchwara waliojaa tanzania....
  CUF ina wabunge 2 na wengine zanzibar... Lakini CHADEMA ina wabunge 23 huku kwetu Tanganyika.. Labda kakigute Zanzibar na CUF kifutwe huku Tanganyika..

  Nawasilisha
   
 7. Monstgala

  Monstgala JF-Expert Member

  #7
  Dec 27, 2010
  Joined: Aug 25, 2009
  Messages: 1,082
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  [​IMG]

  That is how it can be summarised!!
   
 8. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #8
  Dec 27, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  sure Mwiba is garbage full
   
 9. eliesikia

  eliesikia JF-Expert Member

  #9
  Dec 27, 2010
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 423
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  Umesahau wana watu zaidi ya mil 2.2(jumlisha uchakachuaji??)?? Hahaha unataka nchi ifumuke nini?? Maana sasa ndio tutajua kuhesabu wafuasi kwa kutumia kidole tuu.. Kila nyumba itaulizwa jumlisha kituo cha oysterbay(ambacho Slaa alipata kura 58 na JK 54)... Watu walijua pale ndo wasaliti kumbe weee nchi nzima hahawawataki CCM... Mkwere kapata pwani tuu na Unguja kwishnei.....

  Ulitaka msimamo wa aina gani?? kama Ivory coast au?? Mi hata sikuelewi maana hujui tume ilifanya nini siku ile?? CHADEMA walipewa mill 66 kila mwezi kuanzia 2005/10 lakini wamepanda wafuasi kutoka 6% to 26%.. Hao CUF unaosema walikuwa wakipata mill 99 lakini uliza walitoka wapi kwenda wapi kama sio 11% to 8% ooh shame on Lipumba bora arudi Stanford atufundishe uchumi tuu siasa kipaji sio bahati!!!

  Wao(CUF) walikubali mshindi huku wakidai tume sio huru...nafuu CHADEMA wanajua wanachokifanya .. wametoka bungeni na hisia za katiba mpya na tume huru zikaingia... Lakini CUF wamedandia mada kama wanaharakati uchwara waliojaa tanzania....
  CUF ina wabunge 2 na wengine zanzibar... Lakini CHADEMA ina wabunge 23 huku kwetu Tanganyika.. Labda kakigute Zanzibar na CUF kifutwe huku Tanganyika..

  Nawasilisha
   
 10. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #10
  Dec 27, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Unaposema matamko ya Chama una maana gani ? Na hao wanaotoa kauli akina nani ? Nijuavyo Mkuu akisema ndio kimesema Chama ila msemaji wa Chama akanushe. Sawa sawaa ?
  Kusema kweli mimi nilifurahi sana niliposikia maana sikuona ,kuwa wabunge wa Chadema wamesusia Bunge na pia wametangaza kutomtambua Kikwete kama Raisi alieshinda kihalali,...Lakini haikutimia hata wiki wamerudi na wanamtambua Kikwete na pia imefika kumtaka apinge na kukemea mambu ya Ivorycoast ,niliwashangaa sana ,sasa hivi wanauchanganya umma ,wameacha kule ambako kungewapa nguvu ndani na nje ya nchi wameenda kurukia Katiba ,wamekosea pakubwa sana ,hawajatulia kwenye Katiba wanaenda kupanga mambo ya kufanya mambo kwa nguvu,ikiwa watakubaliwa au hawakubaliwi , they are no more political party ,sasa haijulikani kama ni wapigania uhuru au ni wapigania madaraka ,wandugu kuna njia za kufanya siasa na si mapambano na mabishano na vyombo vya dola.
   
 11. s

  superfisadi JF-Expert Member

  #11
  Dec 27, 2010
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 552
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  wanaotumia nguvu ni wenye kumiliki hayo magari ya maji ya kuwasha silaha za moto mabomu ya machozi hao ndiyo unapaswa kushauri wafunzwe upya namna ya kufanya kazi ya kulinda raia na si kupiga na kuwatesa
   
 12. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #12
  Dec 27, 2010
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,924
  Likes Received: 12,131
  Trophy Points: 280
  Mwiba, If you can't beat join 'em, i can figureout the time and effort you are wasting against CDM am very sorry, some people(CCM prominent figures) are joining the fight, who are you,

  think about this cat's effort which side are you Optimist or Pessimist, half full or half empty.

  [​IMG]
   
 13. T

  Topical JF-Expert Member

  #13
  Dec 27, 2010
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Hakuna kosa walilofanya ambalo watastahili kufutwa..eleza kipengele kipi cha sheria za vyama walichokosea hadi kustahili kufutwa?

  Maandamano hata vichaa wanaruhusiwa kuandamana kwa mujibu wa katiba...nothing wrong
   
 14. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #14
  Dec 27, 2010
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,798
  Likes Received: 36,830
  Trophy Points: 280
  consult books kabla hujaandika chochote humu ndani mkuu.nadhani you did not sign out mtoto wako wa darasa la kwanza akaingia kwa profile yako akaandika huu upupu.
   
 15. Shakazulu

  Shakazulu JF-Expert Member

  #15
  Dec 27, 2010
  Joined: Feb 23, 2007
  Messages: 940
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Jaribu kuficha upumbavu wako mara mojamoja!!
   
 16. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #16
  Dec 27, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Mtaalamu wa siasa wa CUF umeishiwa na unaanza kuandika upupu hapa. Sikia ujinga unavyogharimu na sasa unakugharimu.
  Siasa hizi peleka nchini kwenu Zanzibar. Tuachie Tanganyika yetu tafadhali
   
 17. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #17
  Dec 27, 2010
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Uzuri Chadema ni chama kinachosupotiwa sana ni vijana tena wasomi,malumpen wengi ndio wamebaki hawaelewi kua siasa si ushabiki kama wa mpira,wanashindwa elewa kua siasa imebeba hatima ya maisha yao,kwa kua wao thawana dira na maisha yao thats why wanatoa hoja za ajabu mara udini na ukabila mara vile,hawa si watu wa kulumbana nao,tukishawaelewa kua dira ya maisha yao tu hawaijuhi,unategemea watachangia hoja gani?chadema itazidi ku rise kwa kua idadi ya wajinga inazidi kupotea,na watoto na vijana wasomi wanazidi kuijaza tanzania,thats why kuna baadh ya vyama vyenye mitaji ya mambumbu vitakufa natural death
   
 18. n

  niweze JF-Expert Member

  #18
  Dec 28, 2010
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Huyu Kada Aliepost Hii Comment Inawezekana Yupo Nyuma Kifikra. Kitu Tunafahamu Mpaka Sasa ni Kwamba Kura JK Alipata 27% na Hii Inaonyesha Chama Gani Kifutwe Katika Demokrasia. Sijui Kipimo Kipi Huyu Kada Anaweza Kutuonyesha Chadema Ifutwe! Chama Kipi Kimewaumiza Watanzania Mpaka Sasa? Jibu Lipo Kwako Makada-green jackets...
   
 19. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #19
  Dec 28, 2010
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,049
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Kuna watu sababu ya kutokuelewa, unafki uliopitiliza ama sababu anafaidika na pesa za kifisadi wanaanzisha mada zisizo na kichwa wala mkia!! CDM ifutwe ili iweje? au ili shemeji aendelee kuchota mali za serikali na kuwaneemesha we na dada yako? Tumia akili kabla ya kuropoka!! Huku watu wa darasa la saba kama wewe hawatakiwi!!
  We katiba mpya unaona ni shinikizo la CDM na si matakwa ya wananchi? Shame!!
   
 20. K

  Kamundu JF-Expert Member

  #20
  Dec 28, 2010
  Joined: Nov 22, 2006
  Messages: 2,109
  Likes Received: 457
  Trophy Points: 180
  Kwanini CCM isifutwe??
   
Loading...