Ni bora CHADEMA ifutwe

Inategemea upo mrengo gani,kama ni msukule wa Chadema huko sina la kukufanya,maana umeshachotwa na kasumba za Chadema.Hapa tulipo uma wa wazalendo wa Taifa hili wameshaiona Chadema kuwa haina mshiko ni chama kisichoweza kuonyesha mfano hai na badala yake wamekazania bungeni tu,amini usiamini bengeni hakuna hata moja la faida linaloamuliwa ili kukidhi haja za wazalendo ,ni wao na kutunisha matumbo na kuwajibika kwa yale yanayowanufaisha.

Ni lini na wapi ulisikia hao Chadema kupinga hoja kwa kutumia shilingi ??? Makelele yao ya kupasua maguruneti yamefikia wapi ??? Mwisho wa kikao wanaunga mkono !!! Au sio ? Kila siku mnalipua lakini hakuna anaewasikiliza ,watu wanapinda kushoto nyinyi mnabaki na mwendo mdundo....nyie viipiiiiiii ?
Hee mbona yule katibu mkuu mropokaji alisema sasa siasa zinahamia bungeni? Huyo ndio aliwapotosha Chadema kwa hiyo chama chake ndio kifutwe. CCM ndio wanaopiga kelele na mwisho kuunga mkono hoja we vipiiii....?
 
Inategemea upo mrengo gani,kama ni msukule wa Chadema huko sina la kukufanya,maana umeshachotwa na kasumba za Chadema.Hapa tulipo uma wa wazalendo wa Taifa hili wameshaiona Chadema kuwa haina mshiko ni chama kisichoweza kuonyesha mfano hai na badala yake wamekazania bungeni tu,amini usiamini bengeni hakuna hata moja la faida linaloamuliwa ili kukidhi haja za wazalendo ,ni wao na kutunisha matumbo na kuwajibika kwa yale yanayowanufaisha.

Ni lini na wapi ulisikia hao Chadema kupinga hoja kwa kutumia shilingi ??? Makelele yao ya kupasua maguruneti yamefikia wapi ??? Mwisho wa kikao wanaunga mkono !!! Au sio ? Kila siku mnalipua lakini hakuna anaewasikiliza ,watu wanapinda kushoto nyinyi mnabaki na mwendo mdundo....nyie viipiiiiiii ?

Je hiyo hoja yako inatosha kufutwa kwa chama?

Kwanini isifutwe UDP/NRA/etc ambao hawana hata mwelekeo ifutwe cdm?

Anyway naona unashiriki kuwaimarisha safi sana
 
Kama nasaidia kuimarisha sawa ! Lakini ukweli siku zote unakuja juu ,siasa za Chadema zinawalakini na kwa kweli hazieleweki isipokuwa kwa wale ambao wamekusudia kuitumbukiza nchi hii kwenye balaa.
 
Mwiba, hilo ni ukweli kabisa, na ukweli ni kwamba hawana hoja za msingi ila kutaka kutia nchi kwenye balaa kubwa! lakini kwa hotuba ya Kuukaribusha Mwaka mpya, JMK kisha listukia hilo na kisha liweka wazi.
 
Kama nasaidia kuimarisha sawa ! Lakini ukweli siku zote unakuja juu ,siasa za Chadema zinawalakini na kwa kweli hazieleweki isipokuwa kwa wale ambao wamekusudia kuitumbukiza nchi hii kwenye balaa.

Nani atakayekubali kutumbukizwa kwenye balaa watanzania?

Wabongo hawawezi kukubali mwanasiasa wa aina hiyo?

Ni balaa lipi hilo?
 
Ikiwa Chadema imeshindwa na ustaarabu bora Msajili akifute Chama hiki,chama ambacho kinashindwa kujidhibiti na kuwezaa kufuata mkondo wa kisiasa,kwa nini hawaiangalii CUF wapi imetoka na wapi ipo ,hii leo !!

Mimi nawashauri Chadema wasitishe kuingia kwenye Bunge mara moja,nawahakikishia serikali itabadili muelekeo ,ni lazima itabadili muelekeo na vile vile lile lengo la kutomtambua Kikwete kama Raisi halali au alieshinda kihalali, hapo hapana ubishi ni lazima CCM na serikali yake ikae sawa na ni njia moja ya kidemokrasia kabisa.

Lakini kuwarubuni wananchi wakati mnaingia bungeni na kula na kusaza ,hili halikubaliki kabisa kisha kutaka kuwaburuza wananchi kwenda kuchezea maji ya washawasha ,nyie wabunge mnakuwa tandize na majokofu ya jumba la bunge,huo utakuwa utapeli kushinda wa mafisadi,amueni moja tuwafahamu.

Natumaini wewe si mtanzania kwani hauna uzalendo na taifa yaani wahuni wachache waipeleke nchi wanavyotaka alafu watu wanyamaze kwa iyo kwa asilimia mia moja NAIUNGA CHADEMA MKONO KWA KUWATOA WATANZANIA KATIKA USINGIZI MZITO MPAKA SASA WANAHOJI JUU YA SERIKALI YAO!
People powerrrrrr,
Viva CHADEMA
 
Yaani wewe ndio Mtanzania ,nakushangaa sana ,ivi unapendelea vita ? Serikali haichukuliwi kwa vita maana ufahamu serikali zinazotaka kufanywa na Chadema hazitambulikani duniani.
 
Mkuu Mwiba,

Nakuunga mkono sana katika maada hii.

Waswahili husema ngoma ikivuma sana mwishowe .............................

Ni matumaini yangu Chadema wanaelekea huko. Unajua viongozi wa Chadema wana kauli ambazo mwenye akili timamu hawezi kuzungumza. Nakumbuka Dr.Slaa aliamuru nyumba ya mjumbe wa NEC aliyesimamia uchaguzi na kudai amekikandamiza CHADEMA kuchomwa moto na akawaamuru wanachama wa Chadema kutekeleza hilo!! Huyu ndie tunaemtegemea kuwa Rais wa nchi hii?

Ukija kwa Mbowe mara kamlamba vibao mwakilishi wa BAKWATA yaani sipati picha hiki chama ni cha aina gani!

Nakuunga mkono hiki chama kufungwa. Tuko Pamoja Mwiba!
 
Inategemea upo mrengo gani,kama ni msukule wa Chadema huko sina la kukufanya,maana umeshachotwa na kasumba za Chadema.Hapa tulipo uma wa wazalendo wa Taifa hili wameshaiona Chadema kuwa haina mshiko ni chama kisichoweza kuonyesha mfano hai na badala yake wamekazania bungeni tu,amini usiamini bengeni hakuna hata moja la faida linaloamuliwa ili kukidhi haja za wazalendo ,ni wao na kutunisha matumbo na kuwajibika kwa yale yanayowanufaisha.

Ni lini na wapi ulisikia hao Chadema kupinga hoja kwa kutumia shilingi ??? Makelele yao ya kupasua maguruneti yamefikia wapi ??? Mwisho wa kikao wanaunga mkono !!! Au sio ? Kila siku mnalipua lakini hakuna anaewasikiliza ,watu wanapinda kushoto nyinyi mnabaki na mwendo mdundo....nyie viipiiiiiii ?

Tunajua siku zote mti mwena wenye matunda mazuri ndo unaopigwa mawe! Ipo siku ww na CCM yako mtapigwa mawe na wananchi mliowachosha kwa wizi wenu na ugaidi wenu!
 
Mkumbuke mobutu ,idd amin kisha wanaofuata ni watanzania wasio ona mbali. mwiba umepig mchomo huna jipya.
 
Ivi hili lipo zamani ?? angalia siku hizi Chadema imedoda au imepwaya au imefulia ,wananchi wanasema Chadema hawana jipya ,au sivyo ? Hizo ndizo kauli zilizoenea mitaani,ukimuambia mtu naenda mkutano wa Chadema ,utamsikia akisema hawana jipya hao ,huku akiguna.
 
Ikiwa Chadema imeshindwa na ustaarabu bora Msajili akifute Chama hiki,chama ambacho kinashindwa kujidhibiti na kuwezaa kufuata mkondo wa kisiasa,kwa nini hawaiangalii CUF wapi imetoka na wapi ipo ,hii leo !!

Mimi nawashauri Chadema wasitishe kuingia kwenye Bunge mara moja,nawahakikishia serikali itabadili muelekeo ,ni lazima itabadili muelekeo na vile vile lile lengo la kutomtambua Kikwete kama Raisi halali au alieshinda kihalali, hapo hapana ubishi ni lazima CCM na serikali yake ikae sawa na ni njia moja ya kidemokrasia kabisa.

Lakini kuwarubuni wananchi wakati mnaingia bungeni na kula na kusaza ,hili halikubaliki kabisa kisha kutaka kuwaburuza wananchi kwenda kuchezea maji ya washawasha ,nyie wabunge mnakuwa tandize na majokofu ya jumba la bunge,huo utakuwa utapeli kushinda wa mafisadi,amueni moja tuwafahamu.

do u hav a brain.....?
 
Chadema walisha mtambua raisi JK kama rais wa Tanzania hiyo ni sambamba na kutambua matokeo yate ya uchaguzi
 
Mpango mzima, hata mzazi binti akishapewa mimba nyumbani basi ni kuwa mpole, si wangekataa siku ile ya kuapishwa?, wamekubali ki utu uzima hawa!
 
Kutokana na yaliotokea na ambayo yanaendelea kutokea nnaiomba serikali kwa kuangalia sheria zinavyoelekeza kuhusu uwepo wa vyama ambavyo vinawagawa watanzania, vinachochea uvunjifu wa amani, udini na ukabila kuwa ni vyama visivyohitajika tanzania

kwa hio nnaomba kama mwananchi mwenye mapenzi ya nchi yengu chama hiki kifutiwe usajili na viongozi wake wakumbane na mkono wa sheria
 
Back
Top Bottom