Ni Aibu Vijana Kuishabikia CCM

Hahahahaaaaa sitishi Nyau Mpwa ila wote tutaonekana vichaa na tutakua tumetoka nje ya mada. Tumalize hii kwanza tufungue nyingine kwenye jukwaa la picha. Unaonaje? Haya jibu hoja yangu

Jukwaa la picha watu hawaingii sana mpwa! Humu humu ndio pa zuri viewers wakumwaga
 
wewe (JUHA) wa kufa cause unaitetea cdm cause wakifanya maandamano ndio unapata kula cause utakimbilia kwenye biashara za watu na kukwapua vitu kama cm ili upate kula but sasa hivi mkiandamana mtapigwa tu, kongoni wewe..!!

Duuh huyu nae usikute ni graduete.haisee ndo maana tumeanza kupewa uprofesa wa bure na wachina
 
Vyama vya upinzani vimejaa ubinafsi..Chama kama Chadema sio cha Watanzania. Ni cha Mtei .
 
Inashangaza sana kuwa watu wanaojipambanua kuwa wanademokrasia ndio wenye udiktekta mkubwa. Sioni tatizo kwa rika lolote kushabikia chama chochote. Kila chama kina wanachama na mashabiki wa kila rika. Hivyo, vijana wanayo haki ya kushabikia chama chochote. Nadhani unapaswa ujishangae zaidi unapoona unashangazwa na vijana wanashabikia wa chama fulani. Tanzania hakuna vyama vya rika. Ingeshangaza kama tungekuwa na vya rika kisha vijana wakajiunga na chama cha wanawake au watoto.
 
Kwanza inabidi upewe pole kwa upeo wako mdogo wa wazua mambo vijana siyo mbugila kwama wewe kiasi kwamba unaweza kuwadanganya kirahisi wakafuata mawazo yako ya kibavicha nchi yetu chini ya ccm imepiga hatua kubwa na kuwa kioo kwa mataifa mengine katiba mpya imeweka baraza la vijana ili vijana wawe na sehemu ya kusemea wakati chagadema kijana haruhusiwi hata kuhoji tu.

Kama ccm vijana wanaruhusiwa kutoa mawazo yao aende kijana aseme 'chama chetu kumekumbatia mafisadi' uone atakavyoshughulikiwa! kwanza atatakiwa aseme nani kamtuma!
 
Inashangaza sana kuwa watu wanaojipambanua kuwa wanademokrasia ndio wenye udiktekta mkubwa. Sioni tatizo kwa rika lolote kushabikia chama chochote. Kila chama kina wanachama na mashabiki wa kila rika. Hivyo, vijana wanayo haki ya kushabikia chama chochote. Nadhani unapaswa ujishangae zaidi unapoona unashangazwa na vijana wanashabikia wa chama fulani. Tanzania hakuna vyama vya rika. Ingeshangaza kama tungekuwa na vya rika kisha vijana wakajiunga na chama cha wanawake au watoto.

Sizungumzii chama as chama nazungumzia outcome iliyoletwa na ushabiki Wa kichama. BTW hakuna nilipowalazimisha washabikie chama fulani
 
UKAWA Go.... Unapoona kijana anateteta magamba ana njaa ya madaraka akitazama fadhila ya kesho kutoka kwa wenye vijisenti. Hili limewadharaulisha na wanaonekana kama si watu wenye mapenzi mema na nchi yetu. Wakati umefika na muda wa mabadiliko ni sasa. Ukimkataa Tundu Lisu unamtaka mtu kama nani... Ni shiiiida au.. siwaelewi. Mnaonekana kama political bongo movie. Mazoezi muhimu, understand the scene and play, mjitahidi mvae uhalisia then play men....
 
Vijana hawajiulizi kwa nini TV zimegeuka ni mabakuli ya kuombea pesa kwa ajili ya matibabu ya wenye matatizo ya kiafya na kiuchumi? Hawajui kuwa hayo ni madhara ya serikali kutowajibika kutunza afya za raia wake? Walimu wanakatwa pesa za kujengea maabara wakati Membe alikabidhiwa chenji ya Rada ya Chenge baada ya kusema watazitumia kujenga Maabara za shule, kununulia vitabu nk. Lakini zote katia kibindoni anataka aje azitumie kuhonga watu 2015.

Vijana wasiojitambua wanajiangamiza wenyewe na vizazi vyao.
 
UKAWA Go.... Unapoona kijana anateteta magamba ana njaa ya madaraka akitazama fadhila ya kesho kutoka kwa wenye vijisenti. Hili limewadharaulisha na wanaonekana kama si watu wenye mapenzi mema na nchi yetu. Wakati umefika na muda wa mabadiliko ni sasa. Ukimkataa Tundu Lisu unamtaka mtu kama nani... Ni shiiiida au.. siwaelewi. Mnaonekana kama political bongo movie. Mazoezi muhimu, understand the scene and play, mjitahidi mvae uhalisia then play men....

Mnashusha hadhi ya JamiiForums kwa thread kama hizi...hivi ni lazima uanzishe thread?????
 
Back
Top Bottom