Ni Aibu Vijana Kuishabikia CCM

Ni Aibu Vijana Kuishabikia CCM

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
61,369
Reaction score
100,419
Fahari ya Kijana ni Nguvu zake mwenyewe (Mithali 20:29A)

Nimehuzunika sana na yale niliyoyashuhudia Juzi weekend kupitia Kituo Cha TBC ambacho kilirusha tukio la watu waliojiita Vijana wa CCM wa Vyuo Vikuu. Nieleze mapema kuwa hata mimi niliwahi kunasa kwenye mtego huo na tukaishabikia sana CCM kwa kupitia tawi la Abijani( kamwe sijui hata ofisi zao zilipo)

Lakini, enzi zile information ilikua so limited, vijana wa sasa wana kila information kila dakika na kila mahali, wanajua yanayoendelea nchini, wanaujua ukweli wa serikali hii kuwa si sahihi hata kidogo yale yanayotokea. Inflation inaongezeka kila uchao, ubabe wa kitoto wenye kuangamiza kizazi chetu unaongezeka kila uchao.

Tunategemea kuwa Vijana ambao wana nguvu, ambao wanaujua ukweli wa familia zao zinavyoteswa na serikali, waliosoma kwa shida sana, walikosa hadi mkopo na baadhi yao wakapata eti mkopo wa asilimi tano (5%) tulidhani wangesimama na kukataa uonevu huu kwa vitendo lakini matokeo yao vijana hawa wamekua mstari wa mbele kushabikia mambo haya.

Chagueni lililojema Mkaishi

Nawakumbusha Vijana mna safari ndefu, msikubali kupoteza nafasi hii ya kuibadilisha nchi yenu kwa faida ya watoto wenu na watoto wa watoto wenu.
 
Kwanza inabidi upewe pole kwa upeo wako mdogo wa wazua mambo vijana siyo mbugila kwama wewe kiasi kwamba unaweza kuwadanganya kirahisi wakafuata mawazo yako ya kibavicha nchi yetu chini ya ccm imepiga hatua kubwa na kuwa kioo kwa mataifa mengine katiba mpya imeweka baraza la vijana ili vijana wawe na sehemu ya kusemea wakati chagadema kijana haruhusiwi hata kuhoji tu.
 
Hahaha naona umepaniki Mpwa, mimi ndio nimeshasema hivyo, kwahio kama unaendelea kuropoka ni wewe mwenyewe. Nimeshasema na huwa sijibizani na watu wa style yako
 
Mkuu eti hao ndiyo vijana wa chadema na ukawa kwa ujumla wao kwao ndiyo vijana wa mfano sijui waliobaki wapoje.

na wewe ni kijana wa chama kipi? au ndo kileee cha LOOK V? na mwanamitindo KO-MBA?
 
Kwanza inabidi upewe pole kwa upeo wako mdogo wa wazua mambo vijana siyo mbugila kwama wewe kiasi kwamba unaweza kuwadanganya kirahisi wakafuata mawazo yako ya kibavicha nchi yetu chini ya ccm imepiga hatua kubwa na kuwa kioo kwa mataifa mengine katiba mpya imeweka baraza la vijana ili vijana wawe na sehemu ya kusemea wakati chagadema kijana haruhusiwi hata kuhoji tu.

Mkuu nchi imefilisika,na karibuni tutaingia kwenye SAPs tena,bajeti ya 2014/2015 Ipo ICU serikali inahaha kujinasua kwa kukopakopA
 
Fahari ya Kijana ni Nguvu zake mwenyewe (Mithali 20:29A)

Nimehuzunika sana na yale niliyoyashuhudia Juzi weekend kupitia Kituo Cha TBC ambacho kilirusha tukio la watu waliojiita Vijana wa CCM wa Vyuo Vikuu. Nieleze mapema kuwa hata mimi niliwahi kunasa kwenye mtego huo na tukaishabikia sana CCM kwa kupitia tawi la Abijani( kamwe sijui hata ofisi zao zilipo)

Lakini, enzi zile information ilikua so limited, vijana wa sasa wana kila information kila dakika na kila mahali, wanajua yanayoendelea nchini, wanaujua ukweli wa serikali hii kuwa si sahihi hata kidogo yale yanayotokea. Inflation inaongezeka kila uchao, ubabe wa kitoto wenye kuangamiza kizazi chetu unaongezeka kila uchao.

Tunategemea kuwa Vijana ambao wana nguvu, ambao wanaujua ukweli wa familia zao zinavyoteswa na serikali, waliosoma kwa shida sana, walikosa hadi mkopo na baadhi yao wakapata eti mkopo wa asilimi tano (5%) tulidhani wangesimama na kukataa uonevu huu kwa vitendo lakini matokeo yao vijana hawa wamekua mstari wa mbele kushabikia mambo haya.

Chagueni lililojema Mkaishi

Nawakumbusha Vijana mna safari ndefu, msikubali kupoteza nafasi hii ya kuibadilisha nchi yenu kwa faida ya watoto wenu na watoto wa watoto wenu.

sasa katika vijana waliopotea wewe ndio namba moja, halafu inaonyesha unapowaona vijana wanafanya vitu vikubwa wakiwa wametulia inakuuma sana, lakini sio kosa lako umezoea kuandamana na kukimbizana na polisi ili ukakwapue vitu vya watu kwa kisingizio cha kukimbia mabomu, hii hoja uliyoleta imekula kwako kajipange..!!
 
Mkuu Elli, Ule mkutano wa vijana wa vyuo vikuu CCM ilikuwa ni kuandaa vifisadi vya baadae, unajua hata Simba akiona watoto wanakua inabidi awafundishe mbinu za kuwinda, kwa hiyo mkuu Elli usiwe na wasiwasi, hao ni the future thieves, ni mafunzo tu.

Kwanza huyo mama Tibaijuka mwenyewe ambae aliwahutubia anamiliki apartment kubwa yenye thamani ya mabilioni hapo Kinondoni, ambapo kutokana na kazi yake hawezi kuimiliki. Pia anamiliki eneo la ekari mia moja kigamboni. So, siku ile ilikuwa ni kufundishana vijana wizi
 
Fahari ya Kijana ni Nguvu zake mwenyewe (Mithali 20:29A)

Nimehuzunika sana na yale niliyoyashuhudia Juzi weekend kupitia Kituo Cha TBC ambacho kilirusha tukio la watu waliojiita Vijana wa CCM wa Vyuo Vikuu. Nieleze mapema kuwa hata mimi niliwahi kunasa kwenye mtego huo na tukaishabikia sana CCM kwa kupitia tawi la Abijani( kamwe sijui hata ofisi zao zilipo)

Lakini, enzi zile information ilikua so limited, vijana wa sasa wana kila information kila dakika na kila mahali, wanajua yanayoendelea nchini, wanaujua ukweli wa serikali hii kuwa si sahihi hata kidogo yale yanayotokea. Inflation inaongezeka kila uchao, ubabe wa kitoto wenye kuangamiza kizazi chetu unaongezeka kila uchao.

Tunategemea kuwa Vijana ambao wana nguvu, ambao wanaujua ukweli wa familia zao zinavyoteswa na serikali, waliosoma kwa shida sana, walikosa hadi mkopo na baadhi yao wakapata eti mkopo wa asilimi tano (5%) tulidhani wangesimama na kukataa uonevu huu kwa vitendo lakini matokeo yao vijana hawa wamekua mstari wa mbele kushabikia mambo haya.

Chagueni lililojema Mkaishi

Nawakumbusha Vijana mna safari ndefu, msikubali kupoteza nafasi hii ya kuibadilisha nchi yenu kwa faida ya watoto wenu na watoto wa watoto wenu.

ukiona vijana wako hivyo ujue wanajiandaa kuwa wachawi baadae
 
sasa katika vijana waliopotea wewe ndio namba moja, halafu inaonyesha unapowaona vijana wanafanya vitu vikubwa wakiwa wametulia inakuuma sana, lakini sio kosa lako umezoea kuandamana na kukimbizana na polisi ili ukakwapue vitu vya watu kwa kisingizio cha kukimbia mabomu, hii hoja uliyoleta imekula kwako kajipange..!!
Hapana, si kuandika ili tubishane kwa hoja ambazo hazina mashiko, Hoja yangu ni kuwa ni Aibu kuona Vijana wanaishabikia CCM, Full stop, Ni kweli ni Aibu. Nimemaliza
 
Mleta uzi umenena vyema kuwakumbusha vijana mbinu zinazotumiwa na ccm kuandaa kakikundi ka vijana wa vyuo vikuu kuwaharibia walio wengi maisha. Hivi vijana wenye elimu ya chuo mnashindwaje kuuona ukweli juu ya ccm kuifilisi nchi. Hao wazee kina mangula muda wao ulishaisha na hata ule wa nyongeza umeisha. Hawana future tena bali ninyi mnayo kesho na keshokutwa. Mnadanganyika kirahisi mno, badilikeni.
 
Kwangu mimi wote mnaoshabikia siasa akili zenu sawa, mnaburuzwa tu.
Hapana, hatushabikii siasa, some mstari wangu wa mwisho, nimesema hivi, Chagueni lililo Jema mkaishi....sikusema washabikie siasa wala sikuandika kushabikia siasa.
 
vijana vyuoni hua wanaandaa mazingira ya kuajiriwa after grdtn, hvyo hujkuta wanashbkia ccm wakiamn watatafutiwa ajira

...usisahau rushwa na ahadi hewa. Wajiulize kama mashabiki wa ccm waliomaliza mwaka jana wameshapata hizo ajira za ccm ama bado wapo mtaani. Nasikitika sana mbegu mbaya inayopandwa na ccm,wakati majukwaani wanazungumza haki na usawa wakati mbegu zote za ubaguzi zimepandwa na wao...
 
Sidhani kama vijana wote wa vyuo vikuu ndio walioshiriki mkutano huo bali ni baadhi tu ambao wana maslahi na chama,ikumbukwe kuwa kuna vijana ambao hawaijui shida katika nchi hii na hata kama wanajua kuwa shida ipo hawana sababu ya kuihangaikia shida itoke katika jamii kwa kuwa tu wao maisha yao yanakwenda sawa na wanavyotaka.
 
Nchi imeshanyimwa mikopo hali ni tete kama hauamini muulize mwigulu wanapambana kweli kujinasua lakini kweli mambo ni magumu wakubwa wamesema mpaka wapewe maelezo ya zile pesa za Escrwo na IPTL,chezea wazungu wewe
 
Sidhani kama vijana wote wa vyuo vikuu ndio walioshiriki mkutano huo bali ni baadhi tu ambao wana maslahi na chama,ikumbukwe kuwa kuna vijana ambao hawaijui shida katika nchi hii na hata kama wanajua kuwa shida ipo hawana sababu ya kuihangaikia shida itoke katika jamii kwa kuwa tu wao maisha yao yanakwenda sawa na wanavyotaka.
Uko sahihi, sikumaanisha Vijana wote ila wao walijinadi kwa jina hilo. Thanks
 
Back
Top Bottom