Unapoona Rais anatengua na kuteua mara kwa mara ujue Vijana wenye sifa za uongozi huko CCM ni haba ndio sababu Magufuli aliwachukua Chadema!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,968
141,981
Hakunaga Rais duniani anayependa kutengua na kuteua mara kwa mara lakini hali hii hujitokeza pale idadi ya wasomi wenye Sifa wanapokuwa Wachache

Kwa mfano hapa Tanzania Vijana Wengi wa CCM ni Wasanii Ndio hawa akina Zembwela, Steve Nyerere, Ayo, Kokoo, Joti, Wema nk nk ambao kiukweli hawateuliki na ukilazimisha utakuwa unawatengua kila siku

Ni Heri sasa Uteuzi usiangalie Itikadi kwa mfano John Pambalu au Abdul Nondo wateuliwe tu bila kuhamia CCM Ili wakaisaidie Serikali

Ramadan Kareem 😄
 
Naunga mkono hoja, ila kiukweli hii inconsistency kwenye mamlaka ya uteuzi, haileti picha nzuri!, hawa wasaidizi wake goigoi wanamponza kumfanya na yeye aonekane ni...
Niliwahi kushauri Rais Samia, sio malaika ni binadamu anaweza kukosea. Tusimlaumu, kumshutumu na kumponda kwa makosa ya kukoseshwa. Tumvumilie tumpe muda

Muda huu utakamilika 2025!
P
 
Hakunaga Rais duniani anayependa kutengua na kuteua mara kwa mara lakini hali hii hujitokeza pale idadi ya wasomi wenye Sifa wanapokuwa Wachache

Kwa mfano hapa Tanzania Vijana Wengi wa CCM ni Wasanii Ndio hawa akina Zembwela, Steve Nyerere, Ayo, Kokoo, Joti, Wema nk nk ambao kiukweli hawateuliki na ukilazimisha utakuwa unawatengua kila siku

Ni Heri sasa Uteuzi usiangalie Itikadi kwa mfano John Pambalu au Abdul Nondo wateuliwe tu bila kuhamia CCM Ili wakaisaidie Serikali

Ramadan Kareem
Hata RAIS SAMIA ANAWATEGEMEA WAPINZANI IPO SIKU WALE COVID 19 WATAPEWA WOTE UWAZIRI
 
Hakunaga Rais duniani anayependa kutengua na kuteua mara kwa mara lakini hali hii hujitokeza pale idadi ya wasomi wenye Sifa wanapokuwa Wachache

Kwa mfano hapa Tanzania Vijana Wengi wa CCM ni Wasanii Ndio hawa akina Zembwela, Steve Nyerere, Ayo, Kokoo, Joti, Wema nk nk ambao kiukweli hawateuliki na ukilazimisha utakuwa unawatengua kila siku

Ni Heri sasa Uteuzi usiangalie Itikadi kwa mfano John Pambalu au Abdul Nondo wateuliwe tu bila kuhamia CCM Ili wakaisaidie Serikali

Ramadan Kareem 😄
Si kweli, magufuli aliwachukua chadema ili kuiua chadema! Usipotoshe ushetani wa magufuli
 
Back
Top Bottom