Ni Aibu Vijana Kuishabikia CCM

Ni Aibu Vijana Kuishabikia CCM

ukiona kijana amamawazo ya kustarehe ndani ya chama ,hakika huo ni uzao utokanao na watu wavivu,na sidhani kama uzao wa wavivu zaid ya uzao wa ccm .na kutokana na hilo ndio maana hata mazao yao nayo huwa na mawazo ya kivivu na ya kizamani kama wewe, ni wapi chadema ilianzaisha ilivunja amani ya nchi?? Au neno amani kwako lina tafsiri ipi? Hata muongozaji wa pumba yeye huona amani kumtandika punda lakini sidhani kama kwa punda huwa ni amani,, na siku ikitokea punda akagoma kwenda baada ya uchovu ni lazima muongozaji atamuona punda huyo ni mkorofi.
Mawazo kama yako ni mawazo ya mtu mbinafsi na muongo asiye kuwa na uwezo wa kufikiri mambo kwa mapana. Toa walau mfano mmoja tu ni lini chadema wahatarisha amani ya nchi.toa mmoja tu. Pengine huo utanifanya niamini kuwa unaishi kwa mawazo yako na sio ya wajinga fulani.

Dah, Asante sana, kwa hakika umewamaliza kabisaaaa
 
Fahari ya Kijana ni Nguvu zake mwenyewe (Mithali 20:29A)

Nimehuzunika sana na yale niliyoyashuhudia Juzi weekend kupitia Kituo Cha TBC ambacho kilirusha tukio la watu waliojiita Vijana wa CCM wa Vyuo Vikuu. Nieleze mapema kuwa hata mimi niliwahi kunasa kwenye mtego huo na tukaishabikia sana CCM kwa kupitia tawi la Abijani( kamwe sijui hata ofisi zao zilipo)

Lakini, enzi zile information ilikua so limited, vijana wa sasa wana kila information kila dakika na kila mahali, wanajua yanayoendelea nchini, wanaujua ukweli wa serikali hii kuwa si sahihi hata kidogo yale yanayotokea. Inflation inaongezeka kila uchao, ubabe wa kitoto wenye kuangamiza kizazi chetu unaongezeka kila uchao.

Tunategemea kuwa Vijana ambao wana nguvu, ambao wanaujua ukweli wa familia zao zinavyoteswa na serikali, waliosoma kwa shida sana, walikosa hadi mkopo na baadhi yao wakapata eti mkopo wa asilimi tano (5%) tulidhani wangesimama na kukataa uonevu huu kwa vitendo lakini matokeo yao vijana hawa wamekua mstari wa mbele kushabikia mambo haya.

Chagueni lililojema Mkaishi

Nawakumbusha Vijana mna safari ndefu, msikubali kupoteza nafasi hii ya kuibadilisha nchi yenu kwa faida ya watoto wenu na watoto wa watoto wenu.

unafikiri vijana wote ni majambazi kama Lema?
 
unafikiri vijana wote ni majambazi kama Lema?
Sidhani kama kuna mahali nimetaja Ujambazi wa mtu, aisee mbona mna akili ndogo kiasi hicho? someni na kuelewa nilichokiandika, Lema anaingiaje hapa? Ujambazi unaingiaje hapa? Ok kwa mfano tukisema Lema ni jambazi, huu ujambazi auanufanya chini ya serikali ya nani? CCM, that means CCM wameshindwa kuwalinda watu wake pamoja na kujitapa kuwa na vyombo vya dola, Ok kama vyombo vya Dola vinashindwa hata kumkamata Jambzai Sugu huyo lema, wakati mnamjua, kama ulivyotamka hapa, Nani alaumiwe? hahahaa sometimes mtumie vichwa kufikiria kabla ya kupost. Ligi huiwezi tulia
 
Hahahahahaaaaa Safi sana natamani Simiyu Yetu na wale wengine wasome hizi comments zenye mashiko

Mimi niko tayari kumbishia mtu yeyote kuwa kupenda CCM ni kama umechoka kuishi duniani maana hiki chama kimejawana watu wasiojitambua na ndiyo maana unaona karibia ya viongozi wao wote ni wachawi. Na nasema, hakuna kiongozi wa CCM asiye mchawi, yaani kuanzia rais mpaka na hawa vibaka kina Kinana na mkuna nazi mashuhuri Nape Nnauye. Nape anaroga mpaka wananchi vijijini ili wamkubalie kukuna nazi?
 
Wanashabakia ccm hawana akil na pia wameuza utu wao kwa sh: buku 7 akipewa anafuah kwl, njaa mbaya jaman
 
Mbona iko mingi tu???? lema na maandamano yasiyo rasmi arusha yaliyosababisha shughuli za watu kusimama na mji kukimbiwa, Sugu na fujo zake mbeya, mbowe na maneno yake ya kilevi ya kuwataka watu wafanye civil disobedience?...need i say more? hapa bila shaka utajiona kuwa wewe ndiwe MUONGO MKUBWA
ukiona kijana amamawazo ya kustarehe ndani ya chama ,hakika huo ni uzao utokanao na watu wavivu,na sidhani kama uzao wa wavivu zaid ya uzao wa ccm .na kutokana na hilo ndio maana hata mazao yao nayo huwa na mawazo ya kivivu na ya kizamani kama wewe, ni wapi chadema ilianzaisha ilivunja amani ya nchi?? Au neno amani kwako lina tafsiri ipi? Hata muongozaji wa pumba yeye huona amani kumtandika punda lakini sidhani kama kwa punda huwa ni amani,, na siku ikitokea punda akagoma kwenda baada ya uchovu ni lazima muongozaji atamuona punda huyo ni mkorofi.
Mawazo kama yako ni mawazo ya mtu mbinafsi na muongo asiye kuwa na uwezo wa kufikiri mambo kwa mapana. Toa walau mfano mmoja tu ni lini chadema wahatarisha amani ya nchi.toa mmoja tu. Pengine huo utanifanya niamini kuwa unaishi kwa mawazo yako na sio ya wajinga fulani.
 
UKINICHUKIA WENGINE WENGI WANANIPENDA....Ukichukia thread yangu una uwezo wa kupotezea tu na sio kunikataza kuchangia kwa kisingizio cha mropokaji...sijaropoka, siwezi kuropoka kwani siongei bali naandika....nawe wasoma..ushawishi unaotaka kuwapa vijana ni vyema umpe girlfriend wako pekee ndiye atakuamini lakini wengine wote hata kama hawajui kusoma lakini picha wanaona...HAWADANGANYIKI
Ujifunze kusoma hadi mwisho. Usiwe mropokaji. Nitajie mahali niliposema nawataka waende Chadema? I hate vijana wa style yako na ndio maana uko ccm
 
UKINICHUKIA WENGINE WENGI WANANIPENDA....Ukichukia thread yangu una uwezo wa kupotezea tu na sio kunikataza kuchangia kwa kisingizio cha mropokaji...sijaropoka, siwezi kuropoka kwani siongei bali naandika....nawe wasoma..ushawishi unaotaka kuwapa vijana ni vyema umpe girlfriend wako pekee ndiye atakuamini lakini wengine wote hata kama hawajui kusoma lakini picha wanaona...HAWADANGANYIKI

Mmmghhhh sina uhakika na uwezo wako wa kufikiri. Nadhani naongea na mtu ambaye sio size yangu. Tafuta wa size yako Mpwa. Uwe na wakati mwema
 
sasa katika vijana waliopotea wewe ndio namba moja, halafu inaonyesha unapowaona vijana wanafanya vitu vikubwa wakiwa wametulia inakuuma sana, lakini sio kosa lako umezoea kuandamana na kukimbizana na polisi ili ukakwapue vitu vya watu kwa kisingizio cha kukimbia mabomu, hii hoja uliyoleta imekula kwako kajipange..!!

Iko siku utakula matunda ya wanamageuzi CDM ndio utatambua kuwa ulikuwa JUHA na utaishi ktk ujuha hadi kiama
 
Iko siku utakula matunda ya wanamageuzi CDM ndio utatambua kuwa ulikuwa JUHA na utaishi ktk ujuha hadi kiama

wewe (JUHA) wa kufa cause unaitetea cdm cause wakifanya maandamano ndio unapata kula cause utakimbilia kwenye biashara za watu na kukwapua vitu kama cm ili upate kula but sasa hivi mkiandamana mtapigwa tu, kongoni wewe..!!
 
mtu mweusi alinyimwa busara, alinyimwa hekima, alinyimwa upeo,alinyimwa fikra huru, alinyimwa kujiamini,alinyimwa ujuzi na ufahamu,
lakini huwa naamini hayo huwa ni maneno tu ya kumkandamiza mtu mweusi, lakini sasa naelekea kuamin kuwa huenda ni kweli mtu mweusi alinyimwa hayo yote, na wewe unataka kudhihirishwa hilo.
Nafikri ni busara kuweka dawa kwenye ili kuua wadudu wanao bungua nafaka kuliko kuwaacha wendelee kubungua eti kwa sababu tu wapo ndani ya ghala kwa muda mrefu. Haya ni mawazo ya mtu alie kufa ki fikra na hatarajii kufufuka tena!

vp ww ni mtu mweupe ama mwekundu?? ila unavyoongea kwa fujo bila mpangilio utakuwa ww ndo yule uliyenyimwa hayo uliyoyataja tena ni mshabik wa kile chama cha fujo bungen
 
braza usiwe unakurupuka fuatilia mwanzo kuna jamaa alisema kwa kuw ccm wameshakula kwa miaka 50 ni bora tuwape na chadema na wao wale ndio nikamjibu hivyo. Hatuwez kukipa chama kisicho weza kufanya mageuz ya kwel nchi hatutak kuona uonevu na rushwa vikitawala sasa kwa mujibu wa huyo jamaa kama chadema wataendeleza hayo kwann tuwapigie kura ilihal wataendeleza uovu
 
hadi leo unazijua sera ngapi za ukweli? Na je hizo sera hujulikana kabla au baada?? Nadhan ni vema kuchagua kiongozi muwajibikaji ,na muwajibishaji, habari za sera achana nazo zilikuwepo tangu enzi za nyerere na hazifikiwi hitimisho Hadi leo.

sera za kwel zipo kibao tu ila tatizo linakuja kwenye utekelezaj pia siwez kumpa kura kiongoz ninayehis ni mwajibikaj ilihal hawez kuniconvice kwa sera zake then nimsubir kwenye utekelezaj wake
 
vp ww ni mtu mweupe ama mwekundu?? ila unavyoongea kwa fujo bila mpangilio utakuwa ww ndo yule uliyenyimwa hayo uliyoyataja tena ni mshabik wa kile chama cha fujo bungen

tatizo vijana wa ccm hata elimu ni shida ndio maana hata neno fujo hamjui maana yake.hili ni tatizo kwakweli na shida iliyopo hapa ni kwamba mlio wengi wenu humu hasa wafuasi wa ccm ni vi form six kama sio form four failure maana upeo wenu wa mawazo hauoneshi kama mna elimu zaidi ya hiyo. Je unaijua sheria ya maandamano?kama ndio inasemaje? Halafu unambie hizo fujo wanafanya chadema na nani? Je chadema kwa chadema?ili tupate usahihi wa huo upuuzi wako.
 
Sidhani kama kuna mahali nimetaja Ujambazi wa mtu, aisee mbona mna akili ndogo kiasi hicho? someni na kuelewa nilichokiandika, Lema anaingiaje hapa? Ujambazi unaingiaje hapa? Ok kwa mfano tukisema Lema ni jambazi, huu ujambazi auanufanya chini ya serikali ya nani? CCM, that means CCM wameshindwa kuwalinda watu wake pamoja na kujitapa kuwa na vyombo vya dola, Ok kama vyombo vya Dola vinashindwa hata kumkamata Jambzai Sugu huyo lema, wakati mnamjua, kama ulivyotamka hapa, Nani alaumiwe? hahahaa sometimes mtumie vichwa kufikiria kabla ya kupost. Ligi huiwezi tulia

post yako ina utata, hivyo lazima upate comms zenye utata pia. Unataka kila kijana awe chama unachokifikiria wewe ili iweje? Kipindi kile c aliwekwa ndani mkataka kuvunja gereza? Kama jambazi ameuawa akahoji, wakati wale waliokufa kwenye maandamano ya hadi kieleweke wametelekezwa!!!!
 
braza usiwe unakurupuka fuatilia mwanzo kuna jamaa alisema kwa kuw ccm wameshakula kwa miaka 50 ni bora tuwape na chadema na wao wale ndio nikamjibu hivyo. Hatuwez kukipa chama kisicho weza kufanya mageuz ya kwel nchi hatutak kuona uonevu na rushwa vikitawala sasa kwa mujibu wa huyo jamaa kama chadema wataendeleza hayo kwann tuwapigie kura ilihal wataendeleza uovu

nahisi najibizana na std 7 maana kwa hoja zako sidhani kama hata secondari umesoma wewe, na ndio maana mmekuwa mtaji mzuri sana kwa ccm kuwatumia,jiulize kwanini wahisani wamekataa kuchangia budget ya nchi hii kama malalamiko ya udhaifu wa ccm ni batili? Na sidhani kama wewe unaweza kufikiri huko kote maana hoja zako zinanipa mashaka, hata kama una mahaba ya dhati na ccm wakati mwingine jaribu kutumia akili hizo hizo ndogo ulizo nazo kuchambua mambo kwa mapana. Usiwe mtumwa wa mawazo mda wote wakati hali halisi ya taifa ilivyo unaishuhudia. Na madhara yake nayaona. Kama hayakugusi wewe basi nduguyo think big my lovely friend. Achana na mawazo ya kiitikadi yanazidi kulinyonga taif. Na sijui kwa hali hii watoto walio nyuma yetu watalikuta taifa lina hali gani! Maana mambo yanayo fanywa na watawala utadhani hiki ndio kizazi chamwisho na hakina walio nyuma.tafakari chukua hatua.
 
sera za kwel zipo kibao tu ila tatizo linakuja kwenye utekelezaj pia siwez kumpa kura kiongoz ninayehis ni mwajibikaj ilihal hawez kuniconvice kwa sera zake then nimsubir kwenye utekelezaj wake

ukiambiwa huna shule utachukia? Maana inaonesha hujui umuhimu wa sera na uwajibikaji,mbali na hilo pia unaonesha hujui kati ya sera na uwajibikaji kipi kina physical personal creditification pamoja na kuwa muumini mzuri wa ccm hilo lisikufanye ushushe thamani yako kwa kutoa majibu mepesi kwenye maswali magumu.

serikali ikikwama kujiendesha sababu ya ufisadi athari zake zita wagusa CHADEMA ,CCM, CUF pamoja na vyama vingine, lakini pia kuna wale wasio waumini wa chama chochote nao wataathirika pia

Nakushauri ndugu unaweza ukakemea na kuchukizwa na matumizi mabaya ya fedha za umma, rushwa, wizi na ufisadi unao litafuna taifa letu hata ukiwa ndani ya ccm maana naamini madhara ya kufumbia macho haya hata wewe umeanza kuyaona.

Na ili uweze kukerwa na hilo kutoka ndani ya dhamira yako kwanza uache fikra za kishabiki na uanze kufikiri kizalendo na kwa uchungu mkubwa kwa taifa lako linalo angamia kwa ukosefu wa uadilifu.
 
post yako ina utata, hivyo lazima upate comms zenye utata pia. Unataka kila kijana awe chama unachokifikiria wewe ili iweje? Kipindi kile c aliwekwa ndani mkataka kuvunja gereza? Kama jambazi ameuawa akahoji, wakati wale waliokufa kwenye maandamano ya hadi kieleweke wametelekezwa!!!!

Hahahahahaaaaa wewe sio size yangy
 
Back
Top Bottom