Ni Aibu Vijana Kuishabikia CCM

Ni Aibu Vijana Kuishabikia CCM

Vijana tusijidharirishe kujionesha umwamba kuwatumikia wenye fedha kwa ujira wa siku moja au mbili na kisha tunarudi kwenye msoto. kwa kufanya hivyo tunawaumiza watoto wetu, wadogo zetu na hata hatutendei haki fikra hai tulizonazo. Mabadiliko ni Lazima na Mpinzania wa mabadiliko ni Mpinzani wa Maendeleo yetu. Hv hatujachoshwa na mambo yaliyopo namna ya naenda. wasitusahaulishe ugumu wa maisha tunayopitia kwa ujira wa siku. Ukishindana na kauli hii leo unashindana na maendeleo yako binafsi
 
Back
Top Bottom