Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,488
- 13,608
Wenye kufikiria kwa undani tunakujua vizuri kuliko unavyodhania. Samia kawapa uhuru mawaziri wake na ni msikivu asiyekurupuka na kuwafokea akiwatukana hadharani, hivyo wanafanya kazi kwa weledi wa hali ya juu.Ndio maana tunakujua wewe ni mburula. Hayati JPM ameingia vipi hapa?
TANESCO iliingiziwa siasa miaka yote watendaji wakawa waoga kufanya kazi kwa kujinafasi, muda huu ndio wanaifanya kazi kwa maarifa yote waliyonayo, tuwe wapole tupunguze lawama nyingi ambazo msingi wake ni awamu zilizopita.