Nguzo ya Taifa Stars inashikiliwa na safu ya ulinzi ya Yanga

Mkishaanza kuleta Uyanga wenu, tutaomba Morocco ashinde ili tuwazomee.

Upumbavu kabisa.
 
Kama kwa Wydad Simba iliweza kwenda nao sambamba kwa pira objective, sioni kwa nini tushindwe tukiamua kukaza. Baada ya kuondoa hofu nao, hawa waarabu wa Kaskazini wameshakuwa level yetu. Morocco walikuwa wanapaki basi kule Qatar ndiyo kilichowabeba ila hawatishi kihivyooo.

Middle yetu ikikaza, sina wasiwasi sana na defense yetu ikitulia.
Uko sahihi,watu waache fikra mgando.Tanzania au taifa stars ya Leo ni imara kuliko ya 2014 iliyomkanda huyo morocco 3-1.
 
Tukiweka ushabiki pembeni, safu ya ulinzi ya Yanga imethibitisha kwa misimu miwili sasa kuwa ni safu ngumu sana kupitika si tu katika mashindano ya ndani ila hata ya kimataifa. Kuna jinsi hawa vijana wanajua kuwajibishana ndani na nje ya uwanja kiasi kwamba kila mmoja wao anahakikisha azembei na makosa hayatokei mbele yake.

Safu ya kiungo ya Stars bado ina shida kubwa na ushambuliaji ndiyo tatizo ni kubwa zaidi. Shida kubwa ni wale tunaowategemea ni "maji ya jioni" halafu hakuna mbadala kabisa nje, ni kama tulisahau kabisa kwa kipindi cha miaka 5 kuandaa washambuliaji wapya. Hivi Samatta mara ya mwisho kufunga goli kwa Taifa Stars ni lini?

Tunapokwenda kupambana na Morocco hivi leo, tegemeo letu kubwa ni safu ya ulinzi, kule mbele hakuleti matumaini kabisa yaani. Baada ya mechi ya leo, Kocha afikirie kuongeza wachezaji kama Chilunda ili hao kina Samatta wasijione bila wao mambo hayaendi.

Feisal akiwa kwenye ubora wake, anaenda kuwa na gemu nzuri sana.
Chilunda Duh wewe jamaa ni MAKU YA MAMA YAKO
 
Ukuta hata uwe imara vipi ila bila kuwepo viungo wenye ubora ni kazi bure, watashikilia bomba na mwisho watachoka tu kwasababu mashambulizi yatawazidia.
Kuna mechi muhimu sana mbeleni mwao na ndio tegemeo kwenye safu ya ulinzi ya Yanga, leo wanapaswa kucheza kwa tahadhari ya kiwango cha juu kukwepa kuumia.
 
Kama kwa Wydad Simba iliweza kwenda nao sambamba kwa pira objective, sioni kwa nini tushindwe tukiamua kukaza. Baada ya kuondoa hofu nao, hawa waarabu wa Kaskazini wameshakuwa level yetu. Morocco walikuwa wanapaki basi kule Qatar ndiyo kilichowabeba ila hawatishi kihivyooo.

Middle yetu ikikaza, sina wasiwasi sana na defense yetu ikitulia.
Ni kweli tunapoenda kupambana haitakiwi tujishushe , Kama wao waliwafunga Spain na Portugal wakiwa underdog na sisi tunaweza kuwafunga vilevile .
Mzize angekuwepo mbele akisaidiana na kibu stress ingekuwa kubwa kwa back line ya Morocco , sijui kwa nini kocha amemrudisha mzize . Tumefuzu Alcon lakini kocha ni bomu bado hajajua wachezaji wanaomsaidia !
 
Hakuna safu ya ulinzi wa Yanga leo. Kuna vijana wa Tz wanaoenda kuichezea timu Taifa. Mchezaji anaweza hama club hawezi hama timu ya taifa. Unless kama wakifungwa iwe ni club ya Yanga imefungwa.
 
"Reading comprehension" ni tatizo kubwa nchi hii
 
Naona Amrouche kasikiliza mawazo yangu kwa kubadili safu ya mbele. Leo malengo ni ulinzi zaidi. Inawezekana kukaza ila naogopa :D :D
 
Tukiweka ushabiki pembeni, safu ya ulinzi ya Yanga imethibitisha kwa misimu miwili sasa kuwa ni safu ngumu sana kupitika si tu katika mashindano ya ndani ila hata ya kimataifa. Kuna jinsi hawa vijana wanajua kuwajibishana ndani na nje ya uwanja kiasi kwamba kila mmoja wao anahakikisha hazembei na makosa hayatokei mbele yake.

Safu ya kiungo ya Stars bado ina shida kubwa na ushambuliaji ndiyo tatizo ni kubwa zaidi. Shida kubwa ni wale tunaowategemea ni "maji ya jioni" halafu hakuna mbadala kabisa nje, ni kama tulisahau kabisa kwa kipindi cha miaka 5 kuandaa washambuliaji wapya. Hivi Samatta mara ya mwisho kufunga goli kwa Taifa Stars ni lini?

Tunapokwenda kupambana na Morocco hivi leo, tegemeo letu kubwa ni safu ya ulinzi, kule mbele hakuleti matumaini kabisa yaani. Baada ya mechi ya leo, Kocha afikirie kuongeza wachezaji kama Chilunda ili hao kina Samatta wasijione bila wao mambo hayaendi.

Feisal akiwa kwenye ubora wake, anaenda kuwa na gemu nzuri sana.
Baada ya mechi usije ukaikana hiyo safu,ubora wake tuone leo siyo bla bla baadaye kwamba ooh Morocco ni timu nzuri zaidi
 
Safu ya ulinzi ameivuruga, sina uhakika kama watacheza kwa maelewano.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom