Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,101
- 18,084
Cleavage ni neno la Kiingereza lenye maana ya mpasuko (kama ilivyo katikati ya makalio, kumradhi...). Siyo kila mwanamke ana cleavage. Siioni hapo kwa Tulia. Hata kama unataka kuonyesha, kwa nini uonyeshe kitu ambacho hauna? Au hata kama unayo, kwa nini uionyeshe?
Siyo uchi. Panaitwa cleavages