Nguo ya Naibu Spika si njema hadharani

Nguo ya Naibu Spika si njema hadharani

Status
Not open for further replies.
Natazama Live hotuba ya Comrade JPM Mbeya. Lakini nguo aliyovaa naibu spika Dk. Tulia Ackson inamuweka wazi eneo lote la kifua. Hili eneo la kifua ni eneo tazamwa sana maana huvuta hisia za jinsia tofauti.

Natamani angeshauriwa kuvaa isiyoacha wazi kifua. Naona aibu mimi huku sebuleni kwangu
Utatamani vingapi mkuu,hivi katika dunia ya leo waliovaa kistaarabu na waliovaa nusu uchi wepi ni wengi?ukiwafuatilia sana unaweza pata kichaa ndugu,follow your business,huku mijini sie tumeshazoea hata hatuwashangai tena...
 
Hivi mkuu Takwimu alizokuwa anazitoa RC Charamila Mmhh ziko sahihi kweli nimejikuta nikiguna pekeyangu
 
Kadada kenyewe hakana sura ya mvuto....halafu kanatuachia dirisha la kakifua kake.
 
Hahaha hahaha
Mie nilijua maziwa yapo nje, kumbe ni mifupa ya kifua ndo uchi!
Nilijua hivyo pia woiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watu walivyoshadadia sasa hata hapa sisimui[emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Nilijua hivyo pia woiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watu walivyoshadadia sasa hata hapa sisimui[emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Woooiii....
Watu wa jf utawaweza sasa?!
 
Wakuu acheni utani..kitu chuchu saa sita hapo. Acheni utani.....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom