Nguo ya Naibu Spika si njema hadharani

Nguo ya Naibu Spika si njema hadharani

Status
Not open for further replies.
Huyu mama sijui namna gani possibly ana kaunyaki maana ndo zao
 
Ila kalivokuwa kanacheza nyegezi ya diamond ukikavutia hisia lile la mapema linaweza kupatikana wadau.
 
Natazama Live hotuba ya Comrade JPM Mbeya. Lakini nguo aliyovaa naibu spika Dk. Tulia Ackson inamuweka wazi eneo lote la kifua. Hili eneo la kifua ni eneo tazamwa sana maana huvuta hisia za jinsia tofauti.

Natamani angeshauriwa kuvaa isiyoacha wazi kifua. Naona aibu mimi huku sebuleni kwangu
Ilitakiwa avae dira [emoji6]
 
Nyie msemeni tu hapo, kuna mwenzenu/wenzenu wanapiga mabao hapo duble duble na wanavutiwa naye na ashki zinakuja bila kukata...

Tatizo sisi vidume zama hizi bila vumbi la kongo, supu ya pweza ni bure kabisa. Kanakunjika hako na unajilia na mabao ya kukutosha....
 
Sabato
Hebu tujiandae!
 
Natazama Live hotuba ya Comrade JPM Mbeya. Lakini nguo aliyovaa naibu spika Dk. Tulia Ackson inamuweka wazi eneo lote la kifua. Hili eneo la kifua ni eneo tazamwa sana maana huvuta hisia za jinsia tofauti.

Natamani angeshauriwa kuvaa isiyoacha wazi kifua. Naona aibu mimi huku sebuleni kwangu
Shemeji yupo?
 
Mwache avae tu, maana ni kama mjomba wangu wa ipinda[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwa kweli shetani kaingia kwa mwanadamu. Kwa nini mwanamke aone fahari kuonyesha kifua chake? Kifua chako mwonyeshe mumeo chumbani. Kuonyesha kifua/bra ni uzuzu. Hata Wazungu wenye naafasi kama yake, sijawahi kuona wameonyesha bra hadharani. Ni limbukeni tu huyu. Na ndiyo maana kwa akili yake Bungeni anaona mtu mmoja nayesema ndiyo anawashinda mamia wanaosema ndiyo. Apelekwe unyago. Ana tabia za ki-teenager bado.
 
Hakuna Mkristo ataipenda hiyo. Naibu Spika ataonyeshaje kifua na nguo ya ndani kwenye TV? Kajiangalia kwenye kioo nyumbani/hotelini kabisa na kuridhika kuwa yuko sawa na kutoka ndani ya nyumba, kweli? Akili yako na yake ni mbovu. Mimi ni Mkristo. Acha kutumia dini kutetea upuuzi. Tunaongelea heshima ya mwanamke wa Kitanzania, siyo vyama vya siasa hapa.
Shida yako ni nini? Usileta miongozo ya dini hapa kuhusu mavazi... utakuwa wa dini ile ya Sri lanka!
 
Suluhu anavaa Kiislam. Yeye kwa heshima yake avae kama Ndalichako hapo pichani. Haya ndio matatizo ya kuwapa madaraka wasichana.
Hakuna cha ajabu hapo. Kuna watu kila wakimwona mwanamke wanafikiria suala moja tu. Au unataka avae kama Suluhu?
 
Giza linazidi kupunguza mwanga. Na watu wanaombwa waikubali tu! Mwisho wa dunia unakaribia.
Utatamani vingapi mkuu,hivi katika dunia ya leo waliovaa kistaarabu na waliovaa nusu uchi wepi ni wengi?ukiwafuatilia sana unaweza pata kichaa ndugu,follow your business,huku mijini sie tumeshazoea hata hatuwashangai tena...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom