Nguo ya Naibu Spika si njema hadharani

Nguo ya Naibu Spika si njema hadharani

Status
Not open for further replies.
Ha ha ha anapenda kucheza mziki huyu..ndio maana amekua mdhamini wa ngoma za jadi
 
Wenye ile video yake akicheza nyegezi aiweke hapa
 
Natazama Live hotuba ya Comrade JPM Mbeya. Lakini nguo aliyovaa naibu spika Dk. Tulia Ackson inamuweka wazi eneo lote la kifua. Hili eneo la kifua ni eneo tazamwa sana maana huvuta hisia za jinsia tofauti.

Natamani angeshauriwa kuvaa isiyoacha wazi kifua. Naona aibu mimi huku sebuleni kwangu
angekuwa kavaa Matiko au gekuli hv ingekuwa noma sana..sasa huyo sura ya kiume hatamanishi
 
Mimi mpenzi wa vifua ila hapa naona nimetoka kapa
 
Jamani Kila Mtu Anapenda Personality Yake Aonekane Vipi Mbele Za Watu No Matter ana wadhifa gani katika jamii katika mitindo ya mavazi. Wapo wanaopenda sehemu fulani za miili yao ionekane kidogo au zaidi, wapo wasiopenda hata sura zao zionekane. Ila mavazi humjenga mtu au kumbomoa kulingana na hadhi yake, mahali alipo na wakati wake kwa mujibu wa mila, desturi, utamaduni na dini.
 
Tupe cha kujadili, sio nguo ya mtu, ametoa takwimu gani?
Mkuu alikuwa anatoa takwimu za mabilioni katika sekta

1 Afya

2 Elimu

3 Miundombinu

4 Kilimo

Ushuru wa Masokoni na mapato ya TRA yote kwa kichwa bila kuangalia sehemu yeyote ikafika stage akasema ningejuwa kilaza nisingesema haya kwa kichwa
 
  • Thanks
Reactions: Auz
Mimi naomba picha ya hilo vazi original lake maana hili kama kashona wa mtaani kwetu
 
Mitindo mingine mtu huweza kuonekana ni limbukeni wa mitindo ya mavazi hasa kuvaa mavazi mahali si pake pamoja na umri si wa kuvaa mavazi hayo. Ni kituko mama mtu mzima kuvaa mavazi ya wasichana. Ndiyo maana kuna watu wana watu wao wa kuwashauri wavaaje ili wapendeze bila kukwaza watu wengine. Ukivaa vizuri watakusifia, ukivaa vibaya watakuzodoa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom