Nguo ya Naibu Spika si njema hadharani

Nguo ya Naibu Spika si njema hadharani

Status
Not open for further replies.
Sasa kifua chenyewe cha kutamanisha hapo kiko wapi??[emoji23][emoji23] wanaume asee. Duh
 
Natazama Live hotuba ya Comrade JPM Mbeya. Lakini nguo aliyovaa naibu spika Dk. Tulia Ackson inamuweka wazi eneo lote la kifua. Hili eneo la kifua ni eneo tazamwa sana maana huvuta hisia za jinsia tofauti.

Natamani angeshauriwa kuvaa isiyoacha wazi kifua. Naona aibu mimi huku sebuleni kwangu

JPM angewaamuru wavae kama waislamu wanavyovaa ingependeza sana....hata matamanio yasingelikuwepo.
 
Nna ushauri wa mavazi kwa Mheshimiwa ss sijui km atauona
 
Mh Tulia anaekushauri mavazi mfukuze kazi
Kama ni wewe mwenyewe unahitaji mabadiliko
Una wadhifa mkubwa mnooo na pesa ulizonazo u can do better than that
 
Tizama mazuri yako
Mfano huna manyama uzembe na ni mrefu
Jua mapungufu yako

Boresha mwonekano wako nguo ziwe 'more feminine' and 'soft' kidogo

Mfano iga kina Meghan Markle au Kate wanavovaa
Japo kwny vimini wabongo hawataweza

Vitenge dear mbona mishono mizuri ya kidada ipo mingi sana sikuiz jmn..jitahidi hapo

Nywele bora hio low cut kuliko zile dread

And fanya japo makeup kwa mbali sanaaa

Mama Samia unamuonaga lakiniii anavopiga vipako lipstick na nini Anapendeza sana
 
Ama ajiri kabisaaaa personal stylist many celebrities have them
Mfano eve collections ama kiki zimba kuwalipa kwako ni pesa ndogo mnoo
 
Duuuh Asije tu pitia hizi comment humuuu
 
Natazama Live hotuba ya Comrade JPM Mbeya. Lakini nguo aliyovaa naibu spika Dk. Tulia Ackson inamuweka wazi eneo lote la kifua. Hili eneo la kifua ni eneo tazamwa sana maana huvuta hisia za jinsia tofauti.

Natamani angeshauriwa kuvaa isiyoacha wazi kifua. Naona aibu mimi huku sebuleni kwangu
Mkuu inaonekana wewe hujaelewa maana ya kutembea kifua mbere. Hicho kivazi cha Tulia ndiyo kinawakilisha maana halisi ya "tembeeni vifua mbere"
 
Natazama Live hotuba ya Comrade JPM Mbeya. Lakini nguo aliyovaa naibu spika Dk. Tulia Ackson inamuweka wazi eneo lote la kifua. Hili eneo la kifua ni eneo tazamwa sana maana huvuta hisia za jinsia tofauti.

Natamani angeshauriwa kuvaa isiyoacha wazi kifua. Naona aibu mimi huku sebuleni kwangu
Mbeya kun joto sana.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom