vexozanzhu
JF-Expert Member
- Mar 1, 2019
- 503
- 619
Nimesoma Comment za waja nikashindwa niendelee kusoma kwa kuanzia mbele yani comment za mwanzo au kusoma kurudi kinyumenyume yani (Ascending & Descending ) nmejikuta nacheka kila comment za nyuma na za mbele yana ujumbe mmoja kwa namna tofauti.