Ngono: Kwanini tumei-demonize?

de Gunner

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
10,703
Reaction score
21,276
Hivi mtu Ulisikia neno ngono, nini cha kujia kichwani.....

Wengi husema ni kufanya tendo la ndoa, bila ya Koa au kuolewa sio?

Ni umalaya, ni kuharibu utaratibu, kuchepuka, uzinzi

Ngono imekuwa kitu kibaya sana...

Wengi tume I demonize ngono. Imekuwa kama means to an end, watu hatufurahii ngono kabisa.

Je, kuna ukweli ndani yake? Katika maisha halisi na ugwadu wa kila leo ngono hii ambayo iko demonized ina epukika? No matter kweli watu wanafanya wanavyofanya because hawana uhuru kujua kuwa ngono ni kitendo huru kabisa, kama mmeridhiana kufanya?

Sijasema nahalalisha malaya, kuchepuka wala uzinzi. Nazungumzia healthy aspect ya ngono..

Kwa nini kuna judgements linapokuja swala la mtu kufanya ngono, hasa kama haiba ya yule mtu ni kubadili wanawake kama njugu. Si uhuru wake?
 
Ni kwa nini neno ngono? Iwe tu "mapenzi" Mungu alipomletea Adam mwanamke alimaanisha wafanye mapenzi na sio ngono.
 
Kwenye hili swala hakuna mchungaji, Katekista, shekhe wala mtoa huduma na nasaha atakayenipangia
Mizuka ikipanda naruka na yeyote wa level yangu yeyote, siku nikipata wa kuoa (kama wapo lakini) ndo ntatuliza dudu
Karne ya 21 propaganda za dini na siasa zinafanya kazi kwa wachache
Kwa maFree thinker hazina kazi tunazichungulia kwa mbaali zinavyowawehusha brainwashed mpaka huruma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…